’’Nimepata faraja kubwa sana kufanya kazi na nyinyi kwa kipindi kidogo tumefanya kazi kubwa sana kwa ushirikiano kwa bajeti hii tuliyo jadili nawaomba na ninawasihi tukayafanye kazi ilikufikia lengo letu’’
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Ndugu Hamid Njovu katika Baraza la Madiwani la kujadili Bajeti ya mwaka fedha 2020/2021 katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa tarehe 17/1/2020.
Aidha katika Baraza hilo wamejadili Agenda sita zikiwemo mapendekezo ya mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha pia kusoma na kuthibitisha muhtasari maalumu wa mkutano wa baraza la madiwani kwa kupitia mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa