“Leo hii badaa ya kupata kiapo mtakua na haki ya kufanya kazi rasmi katika mitaa yenu lakini kama mlianza kufanya kazi kabla ya kiapo utendaji huo wa kazi utakua ni batili nendeni mkatende haki na usawa kwa wananchi wenu”
Kauli hiyo imetolewa na Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa ya Iringa Ndugu Omary Mkangama katika kuwaapisha viongozi wapya wa Serikali za mitaa katika ukumbi wa Kichangani .
Aidha katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa Wenyeviti wa mitaa 192 , Wajumbe Mchanganyiko 576 na Kundi la Wanawake 384 wameshinda uchaguzi bila kupigwa uchaguzi wa serikali za mitaa ulifanyika tarehe 24 .11.2019.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa