Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Ksesela amewapongeza walimu wa Shule ya Sekondari ya Lugalo kwa kufuta division ziro katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha sita.
Mheshimiwa Kasesela ametoa pongezi hizo katika hafla fupi ya kuwawapa zawadi walimu waliofaulisha vizuri katika masomo wanayoyafundisha iliyofanyika leo katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya Lugalo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa