Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezindua na kukagua Jengo la Ustawi wa Jamii lililogharimu Sh. Milioni 60,000,000/= ndani ya Manispaa ya Iringa tarehe 29/9/2019
Aidha, amemshukuru na kumpongeza kwa kumtunuku Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya ASAS Ndugu, Salimu Abri kwa kujitolea kujenga Jengo la Ustawi wa Jamii pia, anaendelea kusisitiza kuwa Serikali inatumbua, inafarijika na kufurahia Mchango Mkubwa wa ASAS katika Jamii na kuahidi kumuunga Mkono.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa