Posted on: February 1st, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imetenga kiasi cha shilingi milion 40 kwa ajili ya umaliziaji wa bweni na madarasa katika Shule ya Watoto wenye Mahitaji maalum Ipogolo.
Hayo...
Posted on: January 25th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa likiongozwa na Mstahiki Meya Mhe. Ibrahim Ngwada limejadili mpango wa Bajeti ya Halmashauri unaogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 46,010,462,000/=...
Posted on: January 26th, 2024
Mwenyekiti wa kamati ya Ushauri Wilaya ambaye ndiye Mkuu wa Wilaya ya halmashauri ya manispaa Iringa Mhe. Veronica Kessy amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka shule watoto wao na kua...