Posted on: February 24th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mhe. Jesca Msambatavangu amewataka madereva bajaji wote wa Iringa mjini kutumia fursa wanazopata katika kazi kuona namna gani wananufaika kiuchumi ili kuzidi kujijenga...
Posted on: February 23rd, 2021
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada leo tarehe 23/02/2021 ametoa kiasi cha fedha taslim shiilingi milioni moja kwa timu ya RUAHA SPORT'S ACADEMY ya Iringa Mjini amb...
Posted on: February 19th, 2021
Watu wenye ulemavu wametakiwa kutumia fursa ya kupewa viungo vya bandia ili kufanya shughuli zao za kuwaletea maendeleo na kuawainua kiuchumi kiurahisi
Hayo yamesemwa leo tarehe 19/2 /2021 na...