Posted on: January 9th, 2021
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imewaagiza wawakilishi kutoka Taasisi ya Creative Industry Network Tanzania (CINT) wamefanya kikao na wasanii mbalimbali wa Manispaa ya Iringa kinachohusu...
Posted on: January 5th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesera ametembelea na kukagua ujenzi wa madarasa na Shule mpya zitakazo wapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza ifikapo Januari 11. 2021, Manispaa ya Iringa
Mh...
Posted on: January 4th, 2021
Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe. Ibrahim Ngwada amekabidhi Tsh 1,500,000/= kwa timu ya Iringa united ili ziweze kusaidia katika mechi yake dhidi ya timu ya Ihefu ya Mbeya inayotarajiwa kufanyika ...