Posted on: June 27th, 2020
Kaimu mkurugenzi Manispaa ya Iringa Dr.Steven Ngwale amewataka wafanyabiara wa Soko la mashine tatu kuzingatia usafi katika maeneo wanayofanyia biashara ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko. Dr...
Posted on: June 26th, 2020
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewakabidhi wananchi mbalimbali hati zao za Ardhi katika sherehe ya Uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Iringa.
Uzinduzi huo...
Posted on: June 24th, 2020
Mkurugenzi wa Halimashauri ya Manispaa ya Iringa,Hamid Njovu amewataka watendaji wa Kata na mitaa kusimamia sheria badala kuvunja kwa lengo la kumaliza matukio ya ukatili wa kijinsi...