• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Fedha na Biashara

                             IDARA YA FEDHA

MTUNZA HAZINA

 

     MISHAHARA

 

 

MATUMIZI

 

MAPATO

 

HESABU ZA MWISHO

MAJUKUMU YA IDARA 

  • Kushughulikia na uwandaaji wa mishahara ya watumishi pamoja na kutunza taarifa za watumishi kama vile waliofariki  wanahama.
  • Kushughulikia malipo yote kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za fedha mamlaka za selikari za mitaa.
  • Kusikiliza malalamiko yote yatokanayo na madai na kuyashughulikia.
  • Kufatilia makusanyo yote kutoka vyanzo vya mapato ya Halmashauri kwamfano; huduma za mabango, maegesho,ushuru wa soko nk.
  • Uwandaaji wa hesabu za mwisho za halmashauri.
  • Kujibu hoja zote za halmashauri kwa kushirikiana na wakuu wa idara.

 

MAFANIKIO

Idara imefanikiwa kutatua matatizo/kero mbalimbali za wadau ambazo zinahusika na madai ya kifedha kama vile malipo kutokana na stahiki mbalimbali za Watumishi ,madai mbalimbali ya wadau /wazabuni wa Halmashauri.

  • Kuongeza ukusanyaji wa mapato mwaka hadi mwaka kwa asilimia
  • Kufanikiwa kupata hati isiyo na shaka kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016.
  • Kusimamia miradi mbali mbali ya Halmashauri kwa kushirikiana wakuu wa idara kama vile miradi ya barabara za Halmashauri (Road fund) pamoja na mradi wa ULGSP ambao unafadhiliwa na Benki ya Dunia
  • Kutoa elimu mbalimbali kwa wananchi kuhusu vyanzo mbalimbali vya mapato vya Halmashauri.

MIPANGO MIKAKATI

  • Kubuni vyanzo mbalimbali vya mapato kama vile ujenzi wa machinjio ya kisasa,kuongeza masoko uuzaji wa viwanja ,ujenzi wa stendi mpya ya kisasa.
  • Kutoka elimu kwa walipaji kodi walipo katika eneo la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa
  • Kushirikiana na wadau wa Halmashauri katika kuboresha huduma za jamii katika eneo Manispaa ya Iringa, kama vile upatikanaji wa maji, Huduma bora ya tiba, Kuboresha miundo mbinu, Usafi wa Mji pamoja na Elimu bora.
  • Kuendelea kutoa huduma za kifedha kwa kufuata kanuni, Sheria na taratibu za kifedha
  • Kuandaa hesabu za Halmashauri kwa kufuata sheria na kanuni za kimataifa
  • Kuboresha mifumo wa upokeaji mapato kwa kutumia mifuto wa kieletroniki kwa vianzia mbalimbali vya mapato.
  • Kuunda timu za ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato kwa kila chanzo cha mapato.
  • Kuimarisha kitengo cha ukaguzi wa ndani ili kuhakikisha malipo yoteyanafanyika kwa kuzingatia kanuni na taratibu za matumizi ya Fedha za Halmashauri. 
  • Kuhakikisha matumizi yote yanafanyika kwa kuzingatia bajeti ya Halmashauri iliyoidhinishwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa