Mfanya Biashara lazima akamilishe vitu vifuatavyo;-
1. TIN namba kutoka TRA
2. Clearence tax kutoka TRA
3. Kiasi kidogo (Mtaji) cha kuanzishia Biashara.
4. Pakua na Jaza fomu ya maombi ya leseni inayopataiakana katika Tovuti hii
5. Fika ofisi ya Biashara ndani ya Jengo la Manispaa ya iringa
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa