• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana

  • MAJUKUMU  YA  IDARA:
  •  
  • Kuratibu, kupanga na kusimamia shughuli zote za  VVU na UKIMWI ngazi ya Manispaa.
  • Kufafanua na kutekeleza sera mbali mbali za kitaifa.
  • kuwezesha makundi  mbalimbali ya jamii  kiuchumi kwa  kutoa mikopo  kwa  vikundi  vya  kiuchumi  vya  Wanawake na vijana ,Kufuatilia  marejesho  ya  mikopo, Kutoa  elimu ya ujasiriamali na uendeshaji wa biashara  kwa vikundi.
  • Kuwezesha wananchi kupambana na mila zenye madhara kwa afya za  wananchi hasa Wanawake  na Kuratibu  maswala mtambuka katika jamii.
  • Kukusanya  takwimu mbalimbali katika jamii, kusajili ,Kusimamia  na  kuratibu mashirika  yasiyo ya kiserikari pamoja na vikundi vya kijamii mitaani.
  • Kuwezesha jamii kufanya  mikutano ya  upembuzi  shirikishi jamii na Kutoa  mafunzo  ya  maandalizi  ya  mpango  shirikishi jamii ( O & OD).
  •  kushirikiana  na  Idara nyingine katika  kuhamasisha  ushiriki  wa  wananchi  katika  miradi  ya  maendeleleo.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za maendeleo ya vijana na wanawake  ndani ya Halmashauri.
  • Kutoa elimu ya ujasiriamali na usimamizi/ uendeshaji  wa  biashara elimu ya stadi za maisha,afya ya uzazi na ujiinsia kwa vikundi vya vijana.
  • kuhamasisha kuhamasisha jamii kujiunga kwenye vikundi   na  kuwaunganisha na  taasisi mbalimbali za  kifedha.
  • kuratibu na kuwezesha   jamii  kuibua  miradi  ya kijamii na  kunusuru  kaya  masikini.
  • Kutembelea  maeneo  ya miradi  na jamii husika  ili kutathmini mazingira  ya  mradi utakapotekelezwa.
  • Kuhakikisha   uwepo  wa  teknolojia  rahisi na ufundi  mahili kwa  wananchi ngazi zote.
  • Kuelimisha jamii juu  ya  ujenzi  wa majiko  sanifu na  shughuli  za kiufundi.
  • Kusimamia  na  kutoa  ushauri wa  utekelezaji  wa  shughuli  za  miradi  ya  ujenzi  na Teknolojia.
  •  
  • MAFANIKO YA IDARA:
  • Kusimamia uanzishwaji wa kamati za kudhibiti  UKIMWI ngazi za mitaa 192 na kata 18 na kuwezesha upatikanaji wa huduma za mapambano ya VVU/UKIMWI
  • Kutoa elimu ya uanzishwaji wa vikundi vya kijamii na kuwezesha usajili wa vikundi zaidi ya  1,199  ndani ya Manispaa.
  • Kutoa  mikopo  yenye  riba nafuu  kwa  vikundi vya  Wanawake na  Vijana  kupitia mapato ya ndani na  wazara ya maendeleo ya jamii na  maendeleo ya vijana.
  • Kuratibu  mashirika  yasiyo  ya  kiserikali yanayofanya kazi ndani ya Manispaa.
  • Kushiriki katika mikutano ya uibuaji wa miradi ya maendeleo kwa kutumia mbinu shirikishi jamii  iitwayo O&OD katika mitaa yote 192.
  • Kutoa mikipo yenye thamani ya Tsh 162,000,000/= kwa vikundi vya vijana na wanawake ikiwa Tsh 142,000,000/= kutoka mapato na ndani na Tsh 20,000,000/= kutoka Serikali kuu.
  •  
  • MPANGO MKAKATI  WA  IDARA:
  • Kushirikiana na viongozi wa ngazi za mitaa na kata kudhibiti matukio hatarishi kwa jamii kama ubakaji,ukatili wa kijinsia ,unyanyasaji wa watoto nk.
  • Kuiwezesha jamii kujiunga kwenye vikundi vya kijamii ili waweze kuanzisha miradi ya uzalishaji mali na wajikomboe kiuchumi kwa kuondokana na umasikini.
  • Kutambua na kutoa mikopo kwa vikundi vya wanawake na vijana
  • Kutambua mahitaji ya makundi mbali mbali katika jamii na kutoa msaada wa hali na mali..
  • Kuhamasisha jamii ishiriki katika mikutano mabali mbali ambayo itatumika kufahamu na kutatua matatizo yaliyoko katika jamii husika.
  • Kutoa elimu ya mapambano ya maambukizi  ya VVU/UKIMWI
  • Kutoa elimu ya ujasiliamali kwa vikundi vya kiuchumi,elimu ya stadi za maisha ,afya ya uzazi na ujiinsia kwa vijana.
  • Kufuatilia marejessho ya mikopo kwa vikundi vilivyokopeshwa
  • Kufanya  ziara za pamoja za ufuatiliaji kati ya  halmashauri na Wadau/NGOs  kila  baada ya miezi mitatu ili kuboresha  mahusiano na uwajibikaji.

Imeandaliwa  na:

 

ELIAH  KASANGA.

KAIMU AFISA MAENDELEO YA JAMII

 MANISPAA YA IRINGA.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa