“Nahailisha mkutano huu wa Baraza la madiwani kutokana na kanuni na hakidhi ya wajumbe wa Baraza hili kutotimia”
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika Baraza maalumu la Madiwani la kujadili taarifa ya tume ya uchunguzi katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa
Aidha mkutano huo umealishwa ndani ya siku saba na leo ikiwa ni siku ya kwanza
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa