• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

DKT. LINDA AAPISHWA DC MUFINDI

Posted on: February 3rd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Halima Dendego leo Marchi 3 2023 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt.Linda Paniel Selekwa.

Hafla hiyo imefanyika  katika ukumbi wa Masiti uliopo Kata ya Gangilonga Manispaa ya Iringa na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Chama,Serikali, Viongozi wa dini,Wakuu wa Taasisi,wakuu wa Sehemu na Vitengo na wananchi.

Akiongea katika  hafla hiyo Mhe.Dendego amewataka wakuu wa Wilaya kwenda kufanya kazi kwa ushirikiano kutenda haki na kuleta maendeleo kwa wananchi wa Mkoa wa Iringa.

Aidha  Dendego ametumia fursa hiyo kutangaza mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita Mkoani Iringa ambapo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo ambayo imetekelezwa katika Sekta ya Afya,Elimu na Miundombinu na kutatua  changamoto zilizokuwa zikiwakabiri wananchi.

Daudi Yassin ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa amesema wajibu wa Chama na Serikali ni kuondoa kero za wananchi hivyo wameandaa mikakati kabambe ya kuwafikia wananchi wa maeneo yote Katika Mkoa wa Iringa na kuhakikisha wanasikiliza kero na kuzitafutia ufumbuzi.

Akiongea mara baada ya kuapishwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dr.Linda Selekwa amesema atafata haki na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kutekeleza majukumu  yake na kuomba ushirikiano.

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe.Veronica Kesi amemshukuru Rais kwa kuendelea kumuamini na kumteua tena na kuomba ushirikiano ili aweze kutekeleza majukumu yake huku akifurahia kufanya kazi katika Mkoa huu.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 - MANISPAA YA IRINGA December 11, 2022
  • TANGAZO MUHIMU.. January 02, 2023
  • TANGAZO MUHIMU... January 09, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • MNEC ASAS KUTOA MIL.100 KWA MACHINGA MANISPAA YA IRINGA

    March 14, 2023
  • BILION 1.9 KUKAMILISHA MACHINJIO NGELEWALA-MEYA NGWADA

    February 08, 2023
  • DKT. LINDA AAPISHWA DC MUFINDI

    February 03, 2023
  • RC DENDEGO AWAAGIZA MENEJA WA TANROADS NA TARURA KUONGEZA USMAMIZI NA UFATILIAJI KWA WAKANDARASI

    January 10, 2023
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa