“ Maendeleo ya Wananchi hayana itikadi ya chama , wananchi wanahitaji maendeleo na huduma bora za kijamii” Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Saidi Rubeya alipokuwa akikabidhi mashine mbili za kufulia na luninga moja kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Ndugu Omary Mkangama kwaajili ya matumizi ya hospitali ya Frelimo inayomilikiwa na Manispaa ya Iringa.
Vifaa vilivyo kabidhiwa vina thamani ya shilingi milioni tano na laki mbili (5,200,000/=)ambapo imeelezwa kuwa vitatumika kwaajili ya matumizi ya hospitali hiyo, hasa kufua nguo za hospitali na luninga kwaajili ya kufuatilia mafunzo kwa watumishi wa Hospitali ya Frelimo.
Akikabidhi vifaa hivyo, ndugu Saidi Lubeya amesema maamuzi ya kutoa msaada huo yalikuja baada ya Chama Cha Mapinduzi kufanya ziara hospitalini hapo na kupewa taarifa kutoka kwa mganga mfawidhi wa hospitali hiyo kuwa moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa mashine ya kufua nguo ambazo zilikuwa zikitolewa hospitali ya frelimo na kwenda kufuliwa katika Hospitali ya mkoa.
Changamoto ya ukosefu wa mashine ya kufua nguo hospitalini hapo ndio imefanya Chama Cha Mapinduzi kuanza utekelezaji wa kutatua changamoto hii na kuahidi kutatua changamoto moja baada ya nyingine lengo likiwa ni kutoa huduma bora kwa wananchi wa Manispaa ya Iringa na Wilaya za jirani.
Akitoa shukrani kwa niamba ya wananchi wa Manispaa ya Iringa, Mheshimiwa Frank Nyalusi aliyemuwakilisha Meya wa Manispaa ya Iringa Mheshimiwa Alex Kimbe amesema, hatua iliyofanywa na Chama cha Mapinduzi ni hatua ya kuungwa mkono kwani inaleta maendeleo kwa wananchi wote wa Manispaa ya Iringa, hivyo siasa hizi ndizo ziasa za maendeleo kwa ustawi wa nchi.
Naye Mganga mfawidhi wa hospitali ya Frelimo Dk. Zambi Pilila amesema watatuzitumia kwa umakini mkubwa mashine hizo za kufulia kwani zimeokoa gharama ya kusafirisha nguo kwenda kufuliwa hospitali ya Mkoa na itasaidia kufanya kazi katika mazingira salama zaidi.

HOSPITALI YA FRELIMO MANISPAA YA IRINGA YAKABIDHIWA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MIL.5.2.“ Maendeleo ya Wananchi hayana itikadi ya chama , wananchi wanahitaji maendeleo na huduma bora za kijamii” Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Saidi Rubeya alipokuwa akikabidhi mashine mbili za kufulia na luninga moja kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Ndugu Omary Mkangama kwaajili ya matumizi ya hospitali ya Frelimo inayomilikiwa na Manispaa ya Iringa.Vifaa vilivyo kabidhiwa vina thamani ya shilingi milioni tano na laki mbili (5,200,000/=)ambapo imeelezwa kuwa vitatumika kwaajili ya matumizi ya hospitali hiyo, hasa kufua nguo za hospitali na luninga kwaajili ya kufuatilia mafunzo kwa watumishi wa Hospitali ya Frelimo.

22 hrs ·
HOSPITALI YA FRELIMO MANISPAA YA IRINGA YAKABIDHIWA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MIL.5.2.

Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa