Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewakabidhi wananchi mbalimbali hati zao za Ardhi katika sherehe ya Uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Iringa.
Uzinduzi huo umefanyika Leo katika Jengo la Maliasili mkoa, huku likihudhuriliwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na Mkoa akiwepo Mkuu wa mkoa wa Iringa
Sambamba na hilo kiongozi huyo amewataka watumishi kujitahidi kutenda haki za wananchi ili kupunguza malalamiko ya ardhi
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa