• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MADIWANI MANISPAA YA IRINGA WATEMBELEA MACHINJIO YA KISASA SONGEA

Posted on: May 25th, 2023

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Mhe Michael Mbano ameongoza timu ya Waheshimiwa Madiwani ,Mwenyekiti wa CCM Wilaya ndugu Said Rubeya pamoja na timu ya wataalamu kutoka Manispaa ya Iringa kutembelea Machinjio ya kisasa iliyopo Katta ya Tanga Manispaa ya Songea mapema wiki hii kwa lengo la kujifunza namna inavyoendeshwa na kusimamiwa tozo , masuala ya kiutawala na kubadilishana mawazo katika masuala mbalimbali ya maendeleo.

Mstahiki Meya wa Manispa ya Iringa Mhe Ibrahim Ngwada amesema ziara hiyo itasaidia kuboresha machinjio ya Ngelewala iliyopo Halmashauri ambayo imeanza kufanya kazi kwa mfumo usio wa kisasa..

"Tumekuja ili tujifunze na naamini tutaenda kuiboresha machinjio yetu ya Ngelewala kutokana na haya tuliyoyaona hapa Songea alisema Ngwada."

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Mhe Michael Mbano amewakariibisha wageni na kuwaongoza kutembelea mradi huo ambapo alihakikisha wanaridhika na maelezo  yaliyotolewa na wataalam kuhusiana na usimamizi na uendeshaji  wa Machinjio hiyo ya kisasa huku akitoa ushirikiano mkubwa na ufafanuzi wa maswali yaliyoulizwa na wajumbe wa  ziara hiyo walioonesha kiu kubwa ya kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo machinjio hiyo.

Dr.Michael Segamiko ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea amesema Machinjio ya kisasa ya Manispaa ya Songea imegharimu kiiasi cha shilingi bilioni 5.7 na imeanza kutoa huduma ingawa haijakamilika kwa  asilimia 100.

Aidha amesema Manispaa ya Songea ni moja Kati ya Miji michache yenye Machinjio ya Kisasa inayotumia mitambo ya kisasa.nchini Tanzania.

Kwa upande  wao Baadhi  ya Madiwani  Wa Manispaa ya Iringa  wamesema wamenufaika na ziara hiyo na kuahidi kuyatendea kazi  waliyojifunza kwa maendelei ya Manispaa ya Iringa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa