• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MADIWANII,ASAS WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM -RUNGWE

Posted on: May 21st, 2023

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana na kampuni ya ASAS DAIRIES wametoa msaada kwa wanafunzi  wenye mahitaji maalum wa shule ya msingi Katumba II iliyopo wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.

Madiwani wamekabidhi zawadi kadhaa ikiwemo fedha zaidi ya  shilingi laki 2,kama motisha kwa walimu na wanafunzi, Mifuko ya Sukari Mchele, vinywaji na mafuta ya kupikia huku kiwanda cha ASAS kikitoa kiasi cha lita 50 za maziwa bure kwa ajili ya kuboresha lishe ya wanafunzi.

Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 20.5.2023 ikiwa ni kukamilisha ziara ya mafunzo ya Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa iliyoanza Mei 19.2023  kutembelea miradi mbalimbali ya maebdeleo katika wilaya ya Rungwe.

Awali Madiwani walipata fursa ya kutembelea katika shamba la mkulima katika kijiji cha Kalalo ambapo walijifunza kilimo cha tija ambapo mkulima hujishughulisha na ufugaji.

NduguJuma Mwakifulefule ni mfugaji aliyetembelewa ameeleza kuwa shamba lake lina ekari 7 killa mwezi anavuna mikungu 100  na kupata kiasi cha shilingi milioni 2 na kila mkungu huuzwa kwa wastani wa shilingi 20,000/=

Aidha amesema samadi ya ng'ombe hutumika kurutubisha shamba la migomba na kwa idadi ya mifugo yake huzalisha lita 200 kwa siku sawa na wastani wa pato la shilingi 140,000/= kwa siku.

Pia walitembelea kiwanda cha gesi(TAL GAS) wamejifunza namna gesi inavyozalishwa na kuuzwa katika viwanda vya kusindika vinywaji ndani na nje ya nchi.

Gesi hii husambazwa katika mikoa ya Shinyanga,Mwanza,Mbeya,Dar,Kilimanjaro,Morogoro na nchi za Zambia,Kenya na Zimbabwe.

Ibrahim Ngwada ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa anasema ziara hiyo ina maana kubwa sana kwa wajumbe wa baraza la Madiwani kwani wamejifunza mambo mengi mazuri ambapo wataenda kuyafayia  kazi na kuleta  maendeleo kwa wananchi wa Halmashauri.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Manispaa ya Irnga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa