• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MANISPAA ONGEZENI KASI YA UJENZI WA MIRADI -SEKRETARIETI

Posted on: June 20th, 2022

Timu ya Sekretarieti ya Mkoa wa Iringa imefanya ziara ya ukaguzi wa baadhi ya miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika Manispaa ya Iringa na kuwataka waongeze kasi ya ujenzi kwani mwisho wa utekelezaji wa miradi hiyo ni June 2021.

Akiongea wakati wa ukaguzi  wa miradi hiyo Afisa Tawala msaidizi Serikali za Mitaa ndugu Wilfred Myuyu amesema Halmashauri inatakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi,ikiwa ni pamoja na kufuata  maelekezo ya ramani zilizoandaliwa  kwa kufanya hivyo watakuwa wametekeleza wajibu wao ipasavyo na kufanya miradi hiyo ilete matokeo chanya kama ilivyokusudiwa.

Aidha Myuyu amesema maelekezo yote waliyoyatoa kwa ajili ya marekebisho kwenye miradi waliyopita yafanyiwe kazi haraka ili miradi hiyo ikamilike na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Myuyu amewataka wataalam kusimamia kazi za ujenzi  huo usiku na mchana kuhakikisha inakamilika kwa wakati uliopangwa ili ianze kutoa huduma kwa wananchi.

Aidha Kamati imeupongeza uongozi wa Halmashauri kwa usimamizi mzuri wa  mradi wa Ujenzi wa  Wodi ya wanawake,Wanaume,jengo la upasuaji pamoja na jengo la kuhifadhia maiti katika Hospitali ya wilaya Flerimo na kusema mradi huo  wa mfano  wa kuigwa.

Mradi huo ambao unatekelezwa baada ya kupokea kiasi cha shilingi milioni mia saba Tsh 700 000,000/=  kutoka Serikali kuu na ukikamilika utatoa huduma kwa wanachi wa Manispaa ya Iringa na Mkoa kwa ujumla.

Naye kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Ndugu Charles Mwakalila amesrma amepokea maelekezo yote yaliyotolewa na sekretarieti na kuahidi kuyafanyika kazi mara moja ili kuwaletea maemdeleo wananchi wa Manispaa

Miradi mingine iliyokaguliwa ni pamoja na Ujenzi wa Kituo cha Afya Mkimbizi,kituo cha Afya Itamba na Machinjio ya kisasa Ngelewala.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa