• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MANISPAA YA IRINGA YACHANGIA KIASI CHA SHILINGI MILIONI123,173,7250/= WENYE MIRADI YA MAENDELEO NGAZI YA KATA

Posted on: February 22nd, 2018


Manispaa ya Iringa kwa mwaka wa fedha 2017/ 2018 imechangia kiasi cha Shilingi Milioni 123,173,750/= kwa ajili ya kuendeleza Miradi ya Maendeleo kwa ngazi ya Kata ambapo jumla ya Kata 15 zimepokea fedha hizo kati ya Kata 18 zilizo katika Manispaa ya Iringa.

Mgawanyo wa fedha kwenye Kata umetengwa kulingana na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwenye Kata ambapo Kata zilizopokea fedha ni Kata ya Kitanzini, Mshindo, Mivinjeni Mlandege, Ilala, Mkwawa, Kihesa, Mwangata, Kitwiru, Mtwivila, Ruaha, Isakalilo, Nduli, Igumbilo na Mkimbizi.

Aidha, Miradi iliyotengewa fedha ni pamoja na mradi wa ukarabatiwa Ofisi Kata ya Mshindo utakaotumia kiasi cha shilingi 5,000,000/=, ukarabati wa Ofisi Kata ya Kitanzini utakaotumia kiasi cha shilingi 5,000,000/= na kusaidia Ukarabati wa Ofisi ya Kata ya Mtwivila kwa gharama ya shilingi 8,000,000/=

Miradi mingine ni ukamilisha wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Mlangali Kata ya Mlandege utakaogharimu shilingi 10,000,000/=, ukamilishaji wa Matundu ya vyoo Shule ya Msingi Nyumbatatu Kata ya Ilala utakao ghalimu shilingi 5,000,000/=, kusaidia ujenzi wa Madarasa Shule ya Msingi Njiapanda Kata ya Isakalilo shilingi 12,000,000/=, kusaidia Ujenzi wa Madarasa Shule ya msingi Ndiuka Kata ya Igumbilo utakaoghalimu shilingi 5,000,000/=, kusaidia ujenzi wa darasa Shule ya Msingi Igumbilo Kata ya Igumbilo utakaoghalimu shilingi 5,000,000/=, kusaidia ukamilishaji wa vyumba viwili vya madarasa Shule ya Msingi Mawelewele Kata ya Mwangata utakaoghalimu kiasi cha shilingi 8,000,000/= pamoja na kusaidia ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu Shule ya Msingi Ukombozi Kata ya Mkimbizi ambao utagharimu kiasi cha shilingi 10,000,000/=

Katika kuendelea kuchangia Miradi ya Maendeleo Manispaa ya Iringa imechangia ununuzi wa viti na meza 100 kwa gharama ya shilingi 5,000,000/= katika ya Shule ya Msingi Nduli iliyopo Kata ya Nduli, ukamilishaji wa vyoo katika Shule ya Sekondari Mivinjeni iliyopo Kata ya Mivinjeni kwa gharama ya shilingi 8,000,000/=, kusaidia ukamilishaji wa vyumba vya Madarasa katika Shule ya Sekondari Ipogolo iliyopo Kata ya Kitwiru kwa gharama ya shilingi 8,000,000/= na kusaidia ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari Tagamenda iliyopo Kata ya Ruaha kwa gharama ya shilingi 8,000,000/=.

Aidha Manispaa imetoa kiasi cha shilingi milioni 15,000,000/= ili kusaidia ujenzi wa wodi ya Zahanati ya Itamba iliyopo Kata ya Mkwawa na kiasi cha shilingi 6,173,750/= kwaajili ya ukamilishaji wa Soko la Ngome katika Kata ya Kihesa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa