• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MANISPAA YA IRINGA YANG'ARA UPATAJI WA HATI SAFI

Posted on: June 18th, 2022


"Ninapongeza Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa kupata Hati safi kwani naamini mmefanya kazi vyema na mmestahili zawadi hii"

Hayo ameyasema Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga  katika Baraza Maalum la Madiwani la kupitia utekelezaji wa hoja na mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zinazoishia mwezi Juni. 30 Mwaka huu.

Aidha Mhe. Queen Sendiga amemtaka Mkurugenzi kuchukua hatua stahiki kwa mtumishi yoyote atakayesababisha kutokea kwa hoja zisizo na msingi.

Pia amewahimiza wajumbe wote waliofika katika kikao hicho kujitokeza kuchanja chanjo ya Covid lakini pia kuwa mabalozi wa kuhimiza kupinga ukatili wa kijinsia na ulawiti hasa kwa watoto.

Kwa upande wake Katibu tawala wa Mkoa wa Iringa Ndugu.Hqppiness Seneda akamtaka Mkurugenzi kuhakikisha wanasimamia vyema viporo vya miradi iliyobaki kwa kuzingatia muda uliopangwa.

"Nikushukuru kwa yote uliyoyasema na kuwaagiza na  ninaahidi kuyafanyia kazi ipasavyo na taarifa ya utekelezaji itawasilishwa kwako"  amesema Mhe. Ngwada Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa baada ya hotuba ya Mkuu wa Mkoa.

Gerald Mwamuhamila, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa ameshukuru kwa ujio wa viongozi hao na kuwaomba kuzidi kushirikiana kwa kila jambo na pale wanapoteleza wasichoke kuwarekebisha.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JUNI 27.2022 June 27, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • TANGAZO LA KAZI MANISPAA YA IRINGA 30.05.2022 May 30, 2022
  • IMC. MIRADI YA UVIKO HADI TAREHE. 3 JAN 2022 PDF January 04, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • TOENI TAARIFA KWA WANACHI SERIKALI INAVYOTOA FEDDHA ZA MIRADI- MHE.BASHUNGWA

    July 02, 2022
  • KATIBU TAWALA MKOA AWAPA SOMO MENEJIMENTI-MANISPAA IRINGA

    June 24, 2022
  • MANISPAA YA IRINGA YANG'ARA UPATAJI WA HATI SAFI

    June 18, 2022
  • MANISPAA YA IRINGA YATOA MIKOPO YA TSH 184,753,000/=,PIKIPIKI NA BAJAJI KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    June 15, 2022
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa