“dawati la jinsia na Ustawi wa Jamii watoe Semina kwa watoto wetu wa shule za Msingi na Sekondari ilikuepukana na changamoto ya ubakaji na ulawiti katika Mkoa wetu pia kila shule iwena mwalimu moja wa malezi ilikubainisha changamoto wanazo kutana nazo watoto “
Kauli hiyo imetolewana Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi katika ukumbi wa Lugalo ambapo alikutana na wadau mbalimbali wa Elimu wa Mkoa wa Iringa.
Aidha katika mkutano huo Manispaa ya Iringa imeweza kuchukua Kombe baada ya kushika nasafi ya Nane (8) Kitaifa na nafasi ya kwanza (1) Kimkoa katika matokeo ya darasa la saba.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa