• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MEYA NGWADA ASIKILIZA KERO ZA WATUMISHI MANISPAA YA IRINGA

Posted on: December 13th, 2022

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe Ibrahim Ngwada amekutana na watumishi wa ofisi kuu  katika ukumbi wa Mikutano wa Manispaa kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi.

Kikao hiki cha siku moja kimefanyika leo tarehe 13/12/2022 kimewahusisha wakuu wa Sehemu na vitengo na watumishi wa kada zote waliopo ofisi kuu.

Akiongea katika kikao hiki Mhe.Ngwada amesema ni vyema watumishi wote wakapata stahiki zao kwa wakati na kuzingatia usawa katika utoaji wa malipo ya watumishi wote bila kujali nafasi zao za kazi.

'Niseme hivi anayestahili kulipwa pesa kutoka katika nafasi yeyote aliyoko haijalishi ni mhudumu ama ni afisa alipwe na kusiwe na ubaguzi wakati wa malipo  alisema Ngwada'

Pia Mstahiki Meya  amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa aepuke kufanya matumizi yasiyo kuwa katika bajeti ili kuepuka hoja za ukaguzi .

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Dr.Stephen Ngwale amesema ameyapokea maelekezo yote na atayafanyia kazi na kuwataka wakuu wa Sehemu na vitengo kufanya vikao vya ndani ambavyo vitapunguza changamoto zinazojitokeza katika Sehemu na Idara zao.

Naye mhe.Juli Sawani naibu Meya wa Manispaa ya Iringa amewataka wakuu wa Idara na vitengo kuwa wa wazi na  mahusiano mazuri na  watumishi wa chini kwani kufanya hivyo itasaidia kupunguza malalamiko

Kwa upande wake paul Mpwehe Mtumishi kutoka Sehemu ya Maendeleo ya jamii amesema kuwa amefurahishwa sana na kukao hicho na kuongeza kuwa ni utamaduni mzuri ambao unaleta uwazi kwani unaondoa kero za watumishi hivvyo kuwafanya wawe na  utulivu katika maeneo ya kazi na kuwa na morali ya kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa