‘’Kutokana na wajumbe 26 walio walishiriki katika mchakato wa kupiga kura katika baraza hili kura 26 zilihesabiwa ambapo kura 14 za Ndio , kura 12 zimealibika na kura za Hapana ni 0 hivyo basi natangaza rasmi kuwa Alex Kimbe siyo Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa’’
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe.Joseph Nzala Ryata katika Mkutano maalumu wa balaza la madiwa la kujadili taarifa ya Tume ya uchunguzi nakutoa maamuzi kwa wajumbe wote walioshiriki katika mkutano huo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa