Mwenge wa uhuru mwaka 2019 umekagua kuzindua na kuweka jiwe la Msingi kwenye Miradi sita (6) ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambapo miradi miwili imekataliwa kutokana sababu mbalimbali. Kufwatia kukataliwa kwa Miradi hiyo Mkuu wa Wilaya Mhe. Richard Kasesela ameagiza kufwatiliwa kwa taarifa zote za Miradi hiyo na kuitolea ufafanuzi.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa