Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imetakiwa kusitisha mara moja matumizi ya dampo lisilo rasmi lililopo eneo la Mgongo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, kwani uwepo wa dampo hilo linasababisha uharibifu wa mazingira na kuweza kupelekea milipuko ya magonjwa kwa wananchi walio karibu na eneo hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola alipofanya ziara katika Manispaa ya Iringa ya kukagua dampo rasmi la Manispaa na kubaini uwepo wa dampo lisilo rasmi jirani na eneo hilo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa