Wadau wa Uchaguzi katika Manispaa ya Iringa wametakiwa kuzingatia sheria za Uchaguzi na kanuni za Uboreshaji katika kipindi cha kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura ambapo Mkoa wa Iringa uboreshaji wa daftari la kudumu utaanza tarehe 17/12/2019 mpaka 23/12/2019.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Mheshimiwa Semistocles Kaijage alipokuwa akifungua mafunzo kwa wadau wa Uchaguzi .
Taarifa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa Mkoa wa Iringa unavituo 1227 vya kuandikisha daftari la wapiga kura.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa