TAARIFA KWA WANANCHI
WASILISHA LALAMIKO LAKO KWENYE DAWATI LA MALALAMIKO MANISPAA YA IRINGA, JENGO LA UTAWALA KUANZIA SAA 1.30 ASUBUHI MPAKA SAA 9.30 ALASIRI, ENEO LA MAPOKEZI. PIA WAWEZA KUTUMA UJUMBE AU KUPIGA SIMU NAMBA 0745-594666.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa