“Fedha, vifaa pamoja na vibarua wa ujenzi wa Hospitali za Wilaya ndani ya mkoa wa Iringa zipelekwe kwa Wananchi.”
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi katika kikao cha maamuzi ya ujenzi wa Hopsitali ya wilaya ya Iringa Kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Iringa.
Aidha katika kikao hicho Mheshimiwa Hapi ametoa muda wa miezi 6 kwa wataalamu, kusimamia kwa karibu ujenzi wa hospitali zote za wilaya ndani ya Mkoa wa Iringa na kuwataka kuhakikisha zinakamilika ndani ya muda.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa