“Watumishi mnatakiwa kutii sheria na kanuni za utumishi wa umma” kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ndg Omary J. Mkangama Katika na mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi wa Halmashauri yaliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa hallfaer Kata ya Kitanzini Manispaa ya Iringa.
Katika mafunzo hayo mada mbalimbvali zilijadiliwa ikiwemo kuzingatia sheria ya uvaaji wa mavazi yanayotakiwa katika utumishi wa umma, kutii viongozi katika utendaji wa kazi, kuepuka utoro pamoja na kuepuka itikadi za vyama.
Mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wapya huandaliwa na ofisi ya Utumishi na hufanyika kila mwaka ili kutoa elimu na maadili ya utendaji wa umma.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa