Timu ya Menegimenti ya Manispaa ya Iringa inayoongozwa na Mkurugenzi Ndugu Hamid Njovu imefanya Ziara ya kukagua Miradi ya maendeleo inayo tekelezwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2019/2020 timu imetembelea Stendi ya kisasa ya Igumbilo, Soko la Mlandege, Shule ya Sekondari mivinjeni na Mradi wa Ufyatuaji wa Tofali Ngelewala
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa