Mkuu wa mkoa wa Iringa mheshimiwa Ally Hapi amefanya ziara ya siku 4 katika Manispaa ya Iringa lengo la ziara likiwa ni kusikiliza kero za wananchi hususan kero za migogoro ya ardhi.
Ziara hiyo imefanyika katika kata za kihesa,Kitanzini, Mwangata na Ruaha ambapo amewataka watumishi wa serikali kujenga utaratibu wa kutoka maofisini na kuwafuata wananchi waliko ili kusikiliza na kutatua kero zao.
Taarifa zaidi tembelea facebook page ya Manispaa ya Iringa.
Manispaairinga 1
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa