Posted on: January 18th, 2024
Shule mpya ya Msingi ya Uyole iliyopo Kata ya Kitwiru imefanyiwa dua / maombi na viongozi wa dini kutokana na radi iliyopiga katika shule hiyo na kujeruhi wanafunzi 11 na mwalimu mmoja wakiwa darasani...
Posted on: January 19th, 2024
Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Bi. Tupe Kayinga amewaongoza walimu, wananchi na wanafunzi katika zoezi la upandaji wa Miti ya vivuli na Matunda katika Shule mpya ya Sekondari ...
Posted on: January 15th, 2024
Wanafunzi 11 na Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Uyole, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaaya Iringa wamelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoani humo baada ya kupigwa na radiwakati wakiendelea na masomo...