Posted on: June 2nd, 2021
Timu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa ikiongozwa na Katibu Tawala Msaidizi Ndg, Elias Luvanda wametembelea na kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa ndani ya...
Posted on: May 28th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga ametembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Frelimo jana Tarehe 28.05.2021
Ziara yake hiyo iliwahusisha viongozi wa Seri...
Posted on: May 21st, 2021
Wito umetolewa kwa wataalam kutekeleza masuala ya Lishe katika jamii ili kupunguza na kutokomeza kabisa tatizo la utapiamlo katika Manispaa ya Iringa.
Wito huo umetolewa leo tarehe 20.5.2021 ...