• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Ugavi na Manunuzi

UTANGULIZI

Idara ya ugavi na manunuzi ni moja ya kitengo nyeti ndani ya Manispaa ya Iringa. Kitengo hiki kinahusika na Kuratibu shughuli zote za manunuzi na uandaaji wa zabuni za manispaa ya Iringa

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI

  • Kuandaa mikataba mbalimbali ya zabuni
  • Kuandaa machapisho mbalimbali ya zabuni kwa kila mwezi
  • Kuandaa matangazo mbalimbali ya zabuni
  • Kutekeleza maamuzi ya bodi ya zabuni
  • Kundaa ripoti  mbalimbali za bodi ya zabuni

MAFANIKIO YA KITENGO

  • Kupungua kwa hoja za ukaguzi zinazohusu manunuzi (10/2014/2015)
  • Miradi ya maendeleo iliyohusu taratibu za manunuzi kutekelezwa kwa wakati
  • Kupanda kwa alama zinazo tokana na ukaguzi wa manunuzi wa PPRA kutoka  asilimia 75%(2013/2014)  78%(2014/2015)  79%(2015/2016)

MPANGO MKAKATI WA KITENGO

  • Kuondokana na hoja za ukaguzi
  • Kuongeza alama za ufaulu wakati wa ukaguzi wa PPRA kutoka asilimia 79%(2015/2016) hadi 85%(2017/2018)
  • Kutoa taarifa za manunuzi katika mfumo wa taarifa za manunuzi (procurement mgt Information system AMISA)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA NAFASI ZA: -Dereva II -Mwandishi Mwendesha OfisiII (PS) -Mwandishi Mwendesha OfisiII (PS) -Mtendaji wa Mtaa III -Msaidizi wa Kumbukumbu II September 16, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA May 15, 2023
  • TANGAZO KWA UMMA May 19, 2023
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • NYAGAWA AONGOZA KAMPENI YA NIPE KALAMU NISOME

    September 20, 2023
  • LIPULI FC YAKABIDHIWA MILIONI 5

    September 13, 2023
  • MACHINGA IRINGA WAPEWA SIKU 7 KUHAMIA MAENEO RASMI

    September 05, 2023
  • MAPATO KUKUSANYWA 80% WILAYA YA IRINGA • DC Kessy Asisitiza Kuvifikia Vyanzo Vyote vya Mapato

    September 04, 2023
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa