Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Iringa kuingiza mabasi Stendi ya Igumbilo ifikapo mwezi Julai mwaka huu.
Mheshimiwa Hapi ametoa agizo hilo katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo iliyofanyika ndani ya manispaa ya Iringa ambapo alitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa stendi ya mabasi ya igumbilo, ujenzi wa daraja la Tagamenda pamoja na ujenzi wa siko la kisasa la Mlandege
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa