HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022
YALIYOMO
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika utayarishaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka 2021/2022 imezingatia Sera na Miongozo mbalimbali kama ifuatavyo;
Katika mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri inakadiria kukusanya, kupokea na kutumia kiasi cha TZS 34,334,099,997/= kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali katika utoaji wa huduma na Maendeleo. kati ya fedha hizo TZS 25,489,288,000/=ni kwa ajili ya ulipaji wa Mishahara, TZS 1,043,986,000/= ni Ruzuku Matumizi Mengineyo, TZS 3,444,621,172/= ni kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na TZS 4,356,204,825/= ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani.
Mchanganuo wa mapato kwa kila chanzo cha fedha umeainishwa katika Jedwali Na. 3
Jedwali Na. 3 Makisio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022
NA |
AINA YA MATUMIZI |
KIASI |
1 |
Mishahara
|
25,489,288,000 |
2 |
Matumizi Mengineyo
|
1,043,986,000 |
3 |
Miradi ya Maendeleo
|
3,444,621,172 |
4 |
Mapato ya Ndani
|
4,356,204,825 |
|
JUMLA KUU
|
34,334,099,997 |
Jedwali Na. 3.1 Makisio ya Makusanyo ya Mapato ya Ndani
KASIMA |
AINA YA MATUMIZI |
MAKISIO KWA MWAKA 2021/22 |
|
1. MAPATO YA NDANI
|
|
|
1.1 MAPATO HALISI (Own source Proper)
|
|
110851
|
Ushuru wa huduma
|
788,400,000 |
140383
|
Adhabu ya ukiukaji wa sheria
|
15,000,000 |
140505
|
Mapato mengineyo (vitabu,
|
15,980,000 |
140410
|
Uuzaji wa viwanja
|
150,000,000 |
140292
|
Ushuru wa soko
|
310,000,000 |
140370
|
Leseni za pombe za kigeni/Vileo
|
32,466,000 |
140371
|
Leseni za biashara
|
348,848,000 |
140349
|
Ushuru wa machinjio
|
60,116,000 |
140394
|
Ada ya usafi wa mazingira
|
120,000,000 |
140393
|
Ushuru wa stand
|
376,020,000 |
140407
|
Mapato yatokanayo na Ukodishaji wa Mali za Manispaa
|
539,468,000 |
110852
|
Ushuru wa malazi
|
110,000,000 |
140318
|
Ada ya maombi ya viwanja
|
20,000,000 |
140289
|
Ada ya upimaji viwanja
|
10,000,000 |
140380
|
Vibali za ujenzi
|
20,000,000 |
140375
|
Ushuru wa matofali,Mchanga na mawe
|
15,000,000 |
140379
|
Ada ya uzio
|
5,000,000 |
140283
|
Ada ya zabuni
|
2,000,000 |
140376
|
Ada ya misitu
|
50,000,000 |
|
JUMLA MAPATO HALISI (Own source Proper)
|
2,988,298,000 |
|
1.2 MAPATO YA UCHANGIAJI WA HUDUMA
|
|
140399
|
Bima ya Afya - NHIF
|
258,251,529 |
140399
|
Mfuko wa Afya ya Jamii - CHF
|
41,357,296 |
140399
|
Malipo ya Papo kwa papo – USER FEE
|
453,226,000 |
140505
|
Ada za shule Kidato cha tano na sita
|
248,860,000 |
|
Michango ya shule ya Mapinduzi
|
366,212,000 |
|
JUMLA UCHANGIAJI WA HUDUMA
|
1,368,906,825 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI
|
4,357,204,825 |
Jedwali Na. 3.2 Makisio ya Mishahara kwa Idara
FUNGU |
IDARA |
KIASI |
500 |
Utawala
|
2,916,228,763 |
505 |
Kilimo na Mifugo
|
455,628,000 |
507 |
Elimu Msingi
|
8,543,111,083 |
508 |
Afya
|
4,392,809,071 |
509 |
Elimu Sekondari
|
9,045,839,083 |
511 |
Ujenzi
|
135,672,000 |
|
JUMLA MISHAHARA
|
25,489,288,000 |
Jedwali Na. 3.3 Makisio ya Ruzuku ya Matumizi Mengineyo- OC GRANTS
NA |
FUNGU |
IDARA |
KIASI |
1 |
500 |
Utumishi
|
57,789,000 |
2 |
501 |
Usafi na Mazingira
|
15,000,000 |
3 |
502 |
Biashara
|
14,000,000 |
4 |
503 |
Mipango
|
20,101,000 |
5 |
505 |
Kilimo na Mifugo
|
12,333,000 |
6 |
507 |
Elimu Msingi
|
307,409,000 |
7 |
508 |
Afya
|
172,700,000 |
8 |
509 |
Elimu Sekondari
|
392,117,000 |
9 |
511 |
Ujenzi
|
13,537,000 |
10 |
512 |
Ardhi na Maliasili
|
14,000,000 |
11 |
515 |
Ukaguzi wa Ndani
|
15,000,000 |
12 |
527 |
Maendeleo ya Jamii
|
10,000,000 |
|
|
JUMLA MISHAHARA
|
1,043,986,000 |
Jedwali Na. 3.4 Makisio ya Ruzuku ya Matumizi Mengineyo- Mapato ya Ndani
NA |
IDARA |
KIASI |
1 |
Utumishi
|
937,678,051 |
2 |
Usafi na Mazingira
|
149,641,000 |
3 |
Fedha na Biashara
|
70,000,000 |
4 |
Mipango
|
178,659,749 |
5 |
Kilimo na Ushirika
|
35,000,000 |
6 |
Mifugo
|
30,000,000 |
7 |
Elimu Msingi
|
20,000,000 |
8 |
Afya
|
55,000,000 |
9 |
Elimu Sekondari
|
20,000,000 |
10 |
Ujenzi
|
30,000,000 |
11 |
Ardhi na Maliasili
|
70,000,000 |
12 |
Ukaguzi wa Ndani
|
30,000,000 |
13 |
Maendeleo ya Jamii
|
60,000,000 |
14 |
Uchaguzi
|
17,000,000 |
15 |
Sheria
|
30,000,000 |
16 |
Ugavi na Manunuzi
|
30,000,000 |
17 |
Tehama
|
30,000,000 |
|
JUMLA OC- MAPATO YA NDANI
|
1,792,978,800 |
Jedwali Na 3.5 Makisio ya Fedha za Maendeleo
NA |
FUNGU |
Idara |
JINA LA MRADI |
KIASI |
1 |
6209 |
Mipango
|
Mfuko wa Jimbo - CDCF
|
36,310,000 |
2 |
4322 |
Elimu Msingi
|
Elimu bila malipo shule za msingi
|
411,630,000 |
3 |
4323 |
Elimu Sekondari
|
Elimu bila malipo shule za sekondari
|
1,160,990,000 |
4 |
6517 |
Afya
|
Unicef
|
149,051,000 |
5 |
5421 |
Afya
|
Mfuko wa pamoja wa afya - HSBF
|
270,394,000 |
6 |
5417 |
Afya
|
Mradi wa kukamilisha zahanati (02)
|
100,000,000 |
7 |
5417 |
Elimu Msingi
|
Miradi ya miundombinu ya elimu (maboma)
|
112,517,172 |
8 |
5417 |
Elimu Msingi
|
Mradi wa kukamilisha miundombinu S/M(P4R FOREIGN)
|
200,000,000 |
9 |
5417 |
Elimu Sekondari
|
Mradi wa kukamilisha miundombinu S/S(P4R FOREIGN)
|
200,000,000 |
10 |
5417 |
Elimu Sekondari
|
Mradi wa kukamilisha maabara
|
180,000,000 |
11 |
6220 |
Maendeleo ya Jamii
|
Mradi wa kusaidia kaya masikini (TASAF)
|
582,677,000 |
12 |
5022 |
Maendeleo ya Jamii
|
Mradi wa ukimwi (Global Fund)
|
1,668,000 |
13 |
5022 |
Afya
|
Mradi wa malaria (Global Fund)
|
2,384,000 |
14 |
5023 |
Afya
|
Mradi wa usafi na mazingira (SRWSS) - wash
|
37,000,000 |
|
|
|
JUMLA MIRADI YA MAENDELEO
|
3,444,621,172 |
.Naomba kuwasilisha,
………………………….
Herbert Bilia
K.N.Y MKURUNGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
NA |
IDARA |
JINA LA MRADI |
KIASI |
1 |
ELIMU MSINGI |
Ujenzi wa Vyoo katika shule za msingi
|
49,000,000 |
2 |
|
Ukamilishaji na ujenzi wa Madarasa 15 katika shule za Msingi mawelewele, kilongayena, mnazimmoja, umoja, mkoga, Maendeleo, kigamboni, Njiapanda, chemchem
|
70,000,000 |
3 |
|
Ukamilishaji wa Nyumba za Walimu Shule za Msingi hoho, kigonzile, Mlangali
|
40,000,000 |
4 |
|
Uendelezaji wa ujenzi wa Shule mpya Kipululu
|
20,000,000 |
5 |
|
Umaliziaji wa Jengo la Awali Mtaa wa Mahagi.
|
5,000,000 |
6 |
|
Utengenezaji wa madawati kwa shule za msingi
|
5,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
189,000,000 |
7 |
ELIMU SEKONDARI |
Umaliziaji wa bwalo katika Shule ya sekondari Tagamenda na Mawelewele
|
50,000,000 |
8 |
|
Umaliziaji wa Madarasa katika Shule za Sekondari mivinjeni, Igumbilo, Umoja na Isakalilo
|
40,000,000 |
9 |
|
Umaliziaji wa Maabara katika shule za sekondari Mivinjeni, Nduli
|
40,000,000 |
10 |
|
Ujenzi wa Hosteli katika shule sekondari nduli
|
30,000,000 |
11 |
|
Ujenzi wa Vyoo katika Shule za sekondari
|
5,000,000 |
12 |
|
Umaliziaji wa Nyumba moja Mwalimu Kihesa
|
10,000,000 |
13 |
|
Utengenezaji wa madawati kwa Shule za Sekondari
|
5,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
180,000,000 |
14 |
AFYA |
Ujenzi wa Wodi 1 katika hospitali ya Frelimo
|
50,000,000 |
15 |
|
Uendelezaji wa Ujenzi wa kituo cha afya mkimbizi
|
25,000,000 |
16 |
|
Utapanuzi wa jengo la wagonjwa wa nje katika zahanati ya njiapanda
|
15,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
90,000,000 |
17 |
MAENDELEO YA JAMII |
Kutoa mikopo kwa vikundi 100 vya kiuchumi vya Wanawake, Vijana na Walemevu
|
298,829,800 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
298,829,800 |
18 |
UTAWALA |
Ukarabati na ujenzi wa ofisi za kata Mwangata, Kitwiru, Ruaha, Igumbilo, Mkwawa, Mtwivila
|
30,000,000 |
19 |
|
Ujenzi wa Nyumba 2 za Wakuu wa Idara
|
30,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
60,000,000 |
20 |
FEDHA NA BIASHARA |
Ujenzi/uboreshaji wa ukumbi wa sherehe na mikutano eneo la welfare kitanzini
|
90,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
90,000,000 |
21 |
MIPANGO |
Uzalishaji wa Tofali za block
|
60,168,900 |
22 |
|
LAAC, Bajeti, Maandiko
|
47,320,500 |
23 |
|
Timu Viwanda
|
4,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
111,489,400 |
|
|
|
|
24 |
KILIMO NA MIFUGO |
Maonesho ya nanenane
|
40,000,000 |
25 |
KILIMO |
Kitalu nyumba
|
10,000,000 |
26 |
MIFUGO NA UVUVI |
Uanzishaji wa mradi wa Samaki Bwawa la kihesa Kilolo
|
9,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
50,000,000 |
27 |
MAZINGIRA |
Kuwezesha kufanya tathimini ya athari za kimazingira ya eneo jipya la dampo Mkoga Isakalilo
|
11,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
11,000,000 |
28 |
UJENZI |
Ukarabati, matengenezo na uendeshaji wa miundombinu ya umma (O & M)
|
10,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO
|
10,000,000 |
|
MIPANGOMIJI |
|
|
29 |
MIPANGO MIJI |
Kuandaa michoro ya mipango miji 10 kwa kurasimisha Mitaa 5 na kufanya upangaji wa maeneo kwa njia shirikishi katika Mitaa 2 ifikapo Juni 2022
|
4,500,000 |
30 |
|
|
|
31 |
UPIMAJI NA RAMANI |
Kupima viwanja 1,750 ifikapo Juni 2022
|
13,000,000 |
|
|
|
|
32 |
UTHAMINI |
Kufanya uthamini na uhakiki wa maslahi ya wananchi ili kutwaa eneo la ekari 32 Mtaa wa Mkoga ifikapo Juni 2022
|
2,000,000 |
33 |
USIMAMIZI WA ARDHI |
Kutwaa na kulipa fidia eneo la ekari 32 kwa ajili ya upimaji wa viwanja 1,750 ifikapo Juni 2022
|
70,500,000 |
|
UTALII |
Uendelezaji wa Eeneo la utalii Tungamalenga
|
6,000,000 |
|
|
JUMLA
|
96,000,000 |
|
|
JUMLA KUU
|
1,201,319,200 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI / MRADI |
MAKISIO |
|
|
CHMT
|
|
|
1 |
AFYA
|
Udumavu wa watoto unapungua kutoka 51% mpaka 40.8% ifikapo Juni 2024
|
Kufanya tathimini ya lishe kwa watoto katika shule za awali zilizopo pembezoni ifikapo juni 2022
|
1,840,000 |
2 |
AFYA
|
|
Kufanya mkutano wa bodi za shule za msingi kuhusu uboreshaji wa mpango wa chakula mashuleni ifikapo juni 2022
|
600,000 |
3 |
AFYA
|
Maambukizi mapya ya UKIMWI yanapungua kutoka 9.1% mpaka 7% ifikapo Juni 2024
|
Kufanya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ifikapo juni 2022
|
1,500,000 |
4 |
AFYA
|
|
Kufanya vikao vya kila robo mwaka kwa watoa huduma kuhusu huduma za ukimwi ifikapo juni 2022
|
1,500,000 |
5 |
AFYA
|
|
Kutoa huduma za ukimwi kwa njia ya mkoba katika maadhimisho ya siku za kitaifa ifikapo juni 2022
|
800,000 |
6 |
AFYA
|
Kiwango cha matatizo ya macho kinapungua kutoka 7% hadi 6% ifikapo Juni 2024
|
Kufanya uchunguzi wa macho kwa watu waishio pembezoni manispaa ya Iringa ifikapo juni 2022
|
1,500,000 |
7 |
AFYA
|
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia 10% ifikapo Juni 2024
|
Kuadhimisha siku ya wauuguzi duniani ifikapo juni 2022
|
1,500,000 |
8 |
AFYA
|
|
Kufanya ziara za usimamizi elekezi kwa watumishi katika vituo 10 vya kutolea huduma za afya ifikapo juni 2022
|
10,000,000 |
9 |
AFYA
|
|
Kuandaa mpango kabambe wa afya kwa mwaka wa fedha 2022/2022 ifikapo juni 2022
|
10,000,000 |
10 |
AFYA
|
|
Kuandaa mpango wa awali wa afya kwa mwaka wa fedha 2022/2022 ifikapo juni 2022
|
5,728,600 |
11 |
AFYA
|
|
Kufanya vikao vya kila mwezi kwa timu ya usimamizi wa shughuli za afya za Manispaa ifikapo juni 2022
|
6,000,000 |
12 |
AFYA
|
|
Kununua mafuta kwaajili ya kusambaza dawa,kufanya usimamizi elekezi na huduma za rufaa kwa wagonjwa ifikapo Juni 2022
|
9,500,000 |
13 |
AFYA
|
|
Kuandaa na kuwasilisha taarifa ya utekelezaji ya kila robo ifikapo juni 2022
|
5,500,000 |
14 |
AFYA
|
|
Kufanya matengenezo ya magari 3 na pikipiki 4 ifikapo juni 2022
|
10,950,241 |
|
|
|
JUMLA HSBF CHMT
|
66,918,841 |
|
|
HOSPITALI
|
|
|
1 |
AFYA
|
Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vitendanishi na chanjo unaongezeka kutoka 90% mpaka 95% ifikapo Juni 2024
|
Kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi kwa ajili ya Hospitali ya FRELIMO ifikapo juni 2022
|
32,582,172.8 |
2 |
AFYA
|
Vifo vitokanavyo na uzazi vinapungua kutoka 332/100,000 hadi 329/100,000 ifikapo Juni 2024
|
Kufanya kampeni ya utoaji wa Vitamini A na dawa za minyoo kwa watoto ifikapo juni 2022
|
5,000,000 |
3 |
AFYA
|
Kiwango cha matatizo ya macho kinapungua kutoka 7% hadi 6% ifikapo Juni 2024
|
Kufanya kikao cha uhamasishaji kuhusu huduma za macho ifikapo juni 2022
|
1,700,000 |
4 |
AFYA
|
matatizo ya afya ya kinywa na meno yan apungua kutoka 8% hadi 5% ifikapo Juni 2024
|
Kununua vifaa tiba kwa ajili ya huduma ya huduma ya kinywa na meno
|
4,000,000 |
5 |
AFYA
|
|
Kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa na meno kwa wanafunzi wa shule za msingi ifikapo juni 2022
|
2,800,000 |
6 |
AFYA
|
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia 10% ifikapo Juni 2024
|
Kuandaa mpango wa awali wa Hospitali ya FRELIMO kwa mwaka wa fedha 2022/2022 ifikapo juni 2022
|
2,400,000 |
7 |
AFYA
|
|
Kusambaza dawa,vifaa tiba na chanjo kila mwezi katika vituo 31 vya afya ifikapo juni 2022
|
5,052,900 |
|
|
|
JUMLA HSBF HOSPITALI
|
53,535,072.8 |
|
|
VITUO VYA AFYA
|
|
|
1 |
AFYA
|
Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vitendanishi na chanjo unaongezeka kutoka 90% mpaka 95% ifikapo Juni 2024
|
Kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi kwa ajili ya Vituo vya afya ifikapo juni 2022
|
51,972,091 |
2 |
AFYA
|
matatizo ya afya ya kinywa na meno yan apungua kutoka 8% hadi 5% ifikapo Juni 2024
|
Kununua vifaa tiba kwa ajili ya huduma ya afya ya kinywa na meno ifikapo juni 2022
|
6,896,750 |
3 |
AFYA
|
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia 10% ifikapo Juni 2024
|
Kuchapisha na kusambaza vitabu vya kutolea taaifa za MTUHA kwa vituo 31 ifikapo juni 2022
|
5,000,000 |
4 |
AFYA
|
|
Kununua kompyuta mpakato kwa jili ya kutunzia kumbukumbu za watumishi ifikapo juni 2022
|
2,000,000 |
5 |
AFYA
|
|
Kuwajengea uwezo watoa huduma kuhusu uaandaji wa taarifa za MTUHA ifikapo juni 2022
|
1,050,000 |
|
|
|
JUMLA HSBF VITUO VYA AFYA
|
66,918,841 |
|
|
ZAHANATI
|
|
|
1 |
AFYA
|
Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vitendanishi na chanjo unaongezeka kutoka70% mpaka 80% ifikapo Juni 2024
|
Kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi kwa ajili ya Zahanati 7 ifikapo juni 2022
|
52,093,114 |
2 |
AFYA
|
Vifo vitokanavyo na uzazi vinapungua kutoka 332/100,000 hadi 329/100,000 ifikapo Juni 2024
|
Kutoa huduma ya chanjo kwa njia ya mkoba kila mwezi ifikapo juni 2022
|
8,509,495 |
3 |
AFYA
|
Kupunguza magonjwa yaliokua hayapewi kipaumbele kutoka 12% hadi 9% ifikapo Juni 2024
|
Kufanya usimamizi elekezi wakati wa zoezi la utoaji wa dawa ya magonjwa yaliokua hayapewi kipaumbele ifikapo Juni 2022
|
2,000,000 |
4 |
AFYA
|
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia 7% ifikapo Juni 2024
|
Kufanya usimamizi elekezi kwa kila mwezi katika vituo 31 vya kutolea huduma za afya ifikapo juni 2022
|
10,700,000 |
5 |
AFYA
|
|
Kufanya ukarabati mdogo wa zahanati 7 ifikapo Juni 2022
|
7,000,000 |
|
|
|
JUMLA HSBF ZAHANATI
|
80,302,609 |
|
|
|
JUMLA HSBF
|
267,675,364 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI / MRADI |
MAKISIO |
1 |
AFYA
|
Udumavu kwa watoto wenye umri wa miezi 0-59 unapungua kutoka asilimia 51.6% mpaka 40.6% ifikapo juni 2024
|
Kufanya mafunzo ya siku 5 kwa watoa huduma ya afya 50 juu ya ulishaji wa watoto wachanga na wadogo katika Vituo vya kutolea huduma za Afya 19 kufikia June 2022
|
2,000,000 |
2 |
AFYA
|
|
Kufanya mafunzo ya siku 3 kwa watoa huduma ya Afya 50 juu ya ufuatiliaji na ukuaji wa maendeleo ya mtoto na matumizi sahihi ya vipimo vya kutathmini hali ya lishe katika vituo 19 vya kutolea huduma za afya ifikapo June 2022
|
2,000,000 |
3 |
AFYA
|
|
Kufanya vikao vya robo vya kamati ya Lishe kufikia June 2022
|
1,000,000 |
4 |
AFYA
|
|
Kufanya ziara elekezi na usimamizi wa lishe juu ya utekelezaji wa afua za lishe ifikapo June 2022
|
1,000,000 |
5 |
AFYA
|
|
Kufanya vikao 2 vya Wadau wa lishe wa Manispaa kuangalia utekelezaji wa afua za lishe ifikapo June 2022
|
1,000,000 |
6 |
AFYA
|
|
Kufanya vikao vya kamati ya lishe kuhusu uhalali wa takwimu za lishe ifikapo 2022
|
1,000,000 |
|
|
|
JUMLA LISHE
|
8,000,000 |
1 |
AFYA
|
Usajili wa watoto wa umri chini ya umri 5 kwa ajili ya vyeti vya kuzaliwa unaongezeka kutoka 98% hadi 100% ifikapo June 2024
|
Kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya usajili ifikapo June 2022
|
3,000,000 |
2 |
AFYA
|
|
Kufanya matengenezo ya vifaa vya mfumo wa uajili (ICT) ifikapo June 2022
|
500,000 |
3 |
AFYA
|
|
Kufanya ufuatiliaji na usimamizi elekezi katika vituo 52 vya usajili wa watoto kwa ajili ya vyeti vya kuzaliwa ifikapo June 2022
|
3,500,000 |
4 |
|
|
Kufanya kikao cha tathmini ya usajili wa watoto ifikapo June 2022
|
3,000,000 |
|
|
|
JUMLA USAJILI WA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO
|
10,000,000 |
1 |
AFYA
|
Ujuzi na stadi za kukabiliana na matukio ya ukatili,utelekezaji na unyonyaji wa watoto na wanawake kwa watoa huduma unaongezeka kutoka 65% mpaka 77% ifikapo juni 2024
|
Kuendesha mafunzo kuhusu ulinzi na usalama wa watoto na wanawake kwa makundi mbalimbali (Walimu,wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama wa mtoto, Madaktari,Maafisa ustawi wa jamii, wanasheria,mahakimu na waendesha mashtaka wa serikali) ifikapo juni 2022
|
43,097,500 |
2 |
AFYA
|
|
Kuadhimisha wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto wakati wa siku ya mtoto wa afrika (16 juni) kwa kutembelea klabu za ulinzi na usalama wa mtoto zinazofanya vizuri ifikapo juni 2022
|
1,500,000 |
3 |
AFYA
|
|
Kuanzisha klabu za ulinzi na usalama wa mtoto katika shule tano teule za sekondari ifikapo juni 2022
|
3,300,000 |
4 |
AFYA
|
|
Kuendesha mafunzo ya malezi kwa makundi ya wazazi katika ngazi ya kata ifikapo juni 2022
|
5,640,000 |
5 |
AFYA
|
Ujuzi na stadi za kukabiliana na matukio ya ukatili,utelekezaji na unyonyaji wa watoto na wanawake kwa watoa huduma unaongezeka kutoka 65% mpaka 77% ifikapo juni 2024
|
Kuendesha kikao cha uraghibishi (Advocacy) kwa wajumbe wa timu ya menejimenti ya halmashauri (CMT) kuhusu mfumo mpya wa ulinzi na usalama wa watoto na wanawake ifikapo juni 2022
|
1,660,000 |
6 |
AFYA
|
|
Kuchapisha na kusambaza vipeperushi na mabango kuhusu maswala ya kisheria yahusuyo ulinzi na usalama wa watoto na wanawake ifikapo juni 2022
|
2,022,500 |
7 |
AFYA
|
|
Kuwezesha utoaji wa huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi na waliokatika ukinzano wa kisheria ifikapo June 2022
|
15,200,000 |
8 |
AFYA
|
|
Kuwezesha wanasheria wa manispaa kutembelea mahabusu ya watoto, mahakama na dawati la jinsia kwa ajili ya kutoa msaada wa kisheria kwa watoto waliokinzana na sharia ifikapo Juni 2022
|
653,000 |
9 |
AFYA
|
|
Kuwasaidia watoto 20 waliopo katika program ya huduma za utengemau (comminuty rehabilitation program) ifikapo Juni 2022
|
3,840,000 |
10 |
AFYA
|
Miundombinu ya ulinzi na usalama wa watoto inaboreshwa kutoka 70% hadi 90% ifikapo Juni 2024
|
Kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za ulinzi na usalama wa watoto na wanawake (CP-MIS) ifikapo Juni 2022
|
6,760,000 |
|
|
|
JUMLA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO
|
83,673,000 |
|
|
|
JUMLA AFYA
|
101,673,000 |
1 |
ELIMU MSINGI
|
Ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kuongezeka kutoka 91% 2019 hadi 95% na darasa la nne kutoka 94% hadi 99% ifikapo Juni 2023
|
Kusaidia kutoa mafunzo ya elimu maalum kwa walimu 90 na maofisa Elimu kata 16 ifikapo Juni 2022
|
10,030,000 |
2 |
|
|
Kusaidia kutoa mafunzo ya Sara Redio programme kwa walimu wa madarasa 86 ifikapo Juni 2022
|
13,000,000 |
3 |
|
|
Kusaidia kutoa mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa kamati za shule ifikapo Juni 2022
|
3,000,000 |
4 |
|
|
Kusaidia kutoa mafunzo kwa walimu 86 wa S/M juu ya ushauri na nasaha ifikapo Juni 2022
|
14,000,000 |
|
|
|
JUMLA ELIMU MSINGI
|
40,030,000 |
1 |
MIPANGO
|
|
Kuwezesha ufuatiliaji na usimamizi wa shughuli za UNICEF
|
|
|
|
|
JUMLA MIPANGO
|
7,348,000 |
|
|
|
JUMLA UNICEF
|
149,051,000 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
ELIMU MSINGI
|
Kuboresha utoaji na upatikanaji wa huduma bora kwa wanafunzi ifikapo Juni 2023.
|
Kuwezesha uwepo wa chakula cha wanafunzi kwa shule 3 za msingi 2 zikiwa zenye mchepuo wa elimu maalumu (Sabasaba na Ipogolo) na moja ni ya wenye ulemavu wa kuona (Viziwi), katika Halmashauri ya Manispaa ifikapo Juni 2022.
|
85,050,000 |
Kuwezesha upatikanaji wa ruzuku ya uendeshaji shule 43 za msingi ifikapo Juni 2022.
|
177,780,000.00 |
|||
2 |
ELIMU MSINGI
|
Kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa elimu msingi ifikapo Juni 2023.
|
Kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa posho ya madaraka kwa wakuu wa shule 43 wa shule za msingi ifikapo Juni 2022
|
100,800,000.00 |
Kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa posho ya madaraka kwa maafisa elimu kata 16 ifikapo Juni 2022
|
48,000,000.00 |
|||
|
|
|
JUMLA ELIMU BILA MALIPO
|
411,630,000 |
1
|
ELIMU SEKONDARI
|
Kuboresha utoaji na upatikanaji wa huduma bora kwa wanafunzi ifikapo Juni 2024.
|
Kuwezesha uwepo wa chakula cha wanafunzi kwa shule 4 za sekondari za bweni Lugalo, Tagamenda, Iringa Wasichana na Mawelewele katika Halmashauri ya Manispaa ifikapo Juni 2022.
|
774,900,000.00 |
2
|
|
|
Kuwezesha upatikanaji wa ruzuku ya uendeshaji shule za sekondari ifikapo Juni 2022.
|
135,850,000.00 |
3
|
|
|
Kuwezesha upatikanaji wa fidia ya ada kwa shule za sekondari ifikapo Juni 2022.
|
208,240,000.00 |
4
|
|
Kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa elimu sekondari ifikapo Juni 2024.
|
Kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa posho ya madaraka kwa wakuu wa shule 14 wa shule za sekondari ifikapo Juni 2022
|
42,000,000.00 |
|
|
|
JUMLA ELIMU SEKONDARI
|
1,160,990,000 |
|
|
|
JUMLA ELIMU BILA MALIPO
|
1,571,990,000 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
AFYA
|
Ukamilishaji wa wodi Zahanati ya Itamba
|
Kukamilisha ujenzi wa wodi katika zahanati ya Itamba ifikapo Juni 2022
|
50,000,000 |
2 |
AFYA
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa Zahanati ya Mgongo
|
Kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Mgongo ifikapo Juni 2022
|
50,000,000 |
|
|
|
JUMLA RUZUKU YA MAENDELEO
|
140,000,000 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa nyumba 2 za walimu katika shule ya msingi Ugele
|
50,000,000 |
2 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa nyumba 1 ya mwalimu katika shule ya msingi Mkoga
|
25,000,000 |
3 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya msingi Mawelewe
|
60,000,000 |
4 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya msingi Mnazi mmoja
|
40,000,000 |
5 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa matundu 10 ya vyoo katika shule ya msingi Ulonge
|
11,000,000 |
6 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa matundu 13 ya vyoo katika shule ya msingi Kihesa
|
14,000,000 |
|
|
|
JUMLA ELIMU MSINGI
|
200,000,000 |
1 |
ELIMU SEKONDARI
|
|
Ukamilishaji wa maabara 1 katika shule ya sekondari Nduli
|
30,000,000 |
2 |
|
|
Ukamilishaji wa jengo la Utawala katika shule ya sekondari Kreluu
|
30,000,000 |
3 |
|
|
Ukamilishaji wa nyumba 1 ya mwalimu katika shule ya sekondari Mkwawa
|
25,000,000 |
4 |
|
|
Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo katika shule ya sekondari Mkwawa
|
10,000,000 |
5 |
|
|
Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu katika shule ya sekondari Kihesa
|
25,000,000 |
6 |
|
|
Ujenzi wa hosteli 1 katika shule ya sekondari
|
80,000,000 |
|
|
|
JUMLA ELIMU SEKONDARI
|
200,000,000 |
|
|
|
JUMLA EP4R
|
400,000,000 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji wa madarasa 2 katika shule ya msingi Mkoga
|
25,003,816 |
2 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji madarasa 2 katika shule ya msingi Njiapanda
|
25,003,816 |
3 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji madarasa 3 katika shule ya msingi Maendeleo
|
37,505,724 |
4 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji darasa 1 katika shule ya msingi Igumbilo
|
12,501,908 |
5 |
ELIMU MSINGI
|
|
Ukamilishaji darasa 1 katika shule ya msingi Ilala
|
12,501,908 |
|
|
|
JUMLA ELIMU MSINGI
|
112,517,172 |
1 |
ELIMU SEKONDARI
|
|
Ukamilishaji wa maabara katika shule za sekondari
|
180,000,000 |
|
|
|
JUMLA ELIMU SEKONDARI
|
180,000,000 |
|
|
|
JUMLA UKAMILISHAJI WA MABOMA
|
292,517,172 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
MIPANGO
|
|
Kuchangia miradi iliyoibuliwa na kutekelezwa na wananchi
|
36,310,000 |
|
|
|
JUMLA CDCF
|
36,310,000 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
M/JAMII
|
|
Kuwezesha utekelezaji wa mradi wa kunusuru kaya maskini
|
582,677,000 |
|
|
|
JUMLA TASAF
|
582,677,000 |
NA |
IDARA |
LENGO MAHSUSI |
SHUGHULI/MRADI |
MAKISIO |
1 |
AFYA
|
|
Kuwezesha utekelezaji shughuli za malaria na UKIMWI
|
4,052,000 |
|
|
|
JUMLA GLOBAL FUND
|
4,052,000 |
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa