• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Tehama na Uhusiano


UTANGULIZI

Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano (TEHAMA) kinajumuisha sehemu mbili ambazo ni:

  • Habari na Mahusiano
  • Teknolojia ya Mawasiliano

IDADI YA WATUMISHI

Kitengo kina jumla ya watumishi Saba (7)

  • Maafisa Habari wa tano ( 5)
  • Maafisa Tehama wawili ( 2 )

 SEKTA YA HABARI NA MAHUSIANO

Katika Sekta ya Habari na Mahusiano kazi zinazotakiwa kutekelezwa ni pamoja na:-

  • Kuandaa na kutoa habari zinazofanana na mipango, sera, mafanikio, changamoto pamoja na shughuli za utendaji kazi wa Halmashauri.
  • Kupokea maswali kutoka kwa waandishi wa Habari, kuyafanyia utafiti kisha kutoa majibu katika vyombo husika na kuratibu upatikanaji wa habari kwa wakati.
  • Kuandaa vipindi mbalimbali vya Redio na Runinga kwa lengo la kutangaza Halmashauri
  • Kuratibu shughuli mbalimbali za mahusiano ya ndani na nje ya Halmashauri
  • Kuandaa na kuratibu Taarifa kwa vyombo vya Habari (Press Conference,Press Release).
  • Kutoa Taaarifa kwa Wanannchi kuhusu Huduma mbalimbali kupitia Matangazo ya Barabarani

TEKNOLOJIA TEKNOLOGIA YA MAWASILIANO.

  • Kuboresha daftari la Ki – electroniki lenye kuonyesha idadi na hali ya vifaa vyote vya TEHAMA “General Inventory”
  • Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumiaji wa mfumo wa EPICOR, LGRCIS,  LAWSON na GOT- HOMIS
  • Marekebisho na matengenezo ya vifaa vya TEHAMA (komputa, printers na scanners)
  • Uboreshaji mapato kwa kutumia njia ya Ki – elektonic (POS MACHINE)
  • Kurekebisha/kutathimini hitilafu zozote za mtandao wa kompyuta
  • Kuandaa “specifications” za vifaa vya TEHAMA
  • Kurekebisha miundombinu ya mtandao.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 - MANISPAA YA IRINGA December 11, 2022
  • TANGAZO MUHIMU.. January 02, 2023
  • TANGAZO MUHIMU... January 09, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • MNEC ASAS KUTOA MIL.100 KWA MACHINGA MANISPAA YA IRINGA

    March 14, 2023
  • BILION 1.9 KUKAMILISHA MACHINJIO NGELEWALA-MEYA NGWADA

    February 08, 2023
  • DKT. LINDA AAPISHWA DC MUFINDI

    February 03, 2023
  • RC DENDEGO AWAAGIZA MENEJA WA TANROADS NA TARURA KUONGEZA USMAMIZI NA UFATILIAJI KWA WAKANDARASI

    January 10, 2023
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa