• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Utawala na rasilimali watu

UTANGULIZI

Idara ya Utawala na Rasilimali Watu ni moja kati ya Idara 13 na vitendo 6 vinavyounda Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Idara hii inajumla ya sehemu nne ambazo ni Utawala, Usafirishaji, Mikuitano na Masijala pia idara hii ina watumishi 299.

MAJUKUMU YA IDARA

  • Kutoa Tafsiri ya sera za Halmashauri kwa watumishi
  • Kuhakikisha watumishi wanafanyakazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.
  • Kusimamia nidhamu ya watumishi katika Halmashauri ili waweze kutoa huduma bora kwa jamii kwa kuzingatia kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.
  • Kushughulikia na kutoa ufafanuzi wa malalamiko ya wananchi.
  • Kuhakikisha kunakuwepo na mahusiano bora kazini kati ya watumishi wa Halmashauri, wasimamizi na wadau mbalimbali.
  • Kufanikisha zoezi la upimaji wa vigezo kupata ruzuku ya maendeleo kwa vigezo vinavyohusu Idara ya Utawala na Utumishi.
  • Kufanya makisio ya mishahara ya watumishi wa Halmashauri na kuwasilisha Hazina.
  • Kuratibu likizo za watumishi na kusimamia maslahi yao.
  • Kuhakikisha kuwa watumishi wapya wanaingizwa kwenye orodha ya mishahara kwa wakati.
  • Kuhakikisha kuwa watumishi walioacha kazi, waliokufa, waliohama na
  • waliostaafu wanaoendolewa katika orodha ya malipo ya mishahara kwa wakati.
  • MAFANIKIO YA IDARA 
  • Idara imefanikiwa kutoa huduma bora kwa wananchi na kwa uwazi.
  • Idara imefanikiwa kuboresha mazingira ya kazi, kwa kukarabati Ofisi za Halmashauri na kupatikana kwa vitendea kazi kwa wakati.
  • Idara imewezesha watumishi kupata fursa mbalimbali za mafunzo ya muda mrefu na mfupi.
  • Idara imefanikiwa kuwezesha wastaafu kulipwa mafao yao ya kustaafu kwa wakati, hii ni pamoja na kulipa gharama za likizo za kustaafu na usafirishaji wa mizigo.
  • Idara imefanikiwa kutoa motisha kwa wafanyakazi bora kila ifikapo mwezi Mei kila mwaka.

MPANGO MKAKATI WA IDARA

  • Idara inatarajia kuziba nafasi 149 zilizo wazi pindi vibali vya ajira vya mwaka wa fedha 2016/2017na 2017/2018 vitakapoidhinishwa.
  • Idara inatarajia kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wa Manispaa ya Iringa kuanzia ngazi ya Mtaa hadi Halmashauri.
  • Idara inatarajia kuboresha zaidi mazingira ya kazi kwa watumishi wake ikiwa ni pamoja na kuboresha miundo mbinu iliyopo kwa kufanya ukarabati katika ofisi na kuwepo kwa vitendea kazi kwa wakati.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 - MANISPAA YA IRINGA December 11, 2022
  • TANGAZO MUHIMU.. January 02, 2023
  • TANGAZO MUHIMU... January 09, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • MNEC ASAS KUTOA MIL.100 KWA MACHINGA MANISPAA YA IRINGA

    March 14, 2023
  • BILION 1.9 KUKAMILISHA MACHINJIO NGELEWALA-MEYA NGWADA

    February 08, 2023
  • DKT. LINDA AAPISHWA DC MUFINDI

    February 03, 2023
  • RC DENDEGO AWAAGIZA MENEJA WA TANROADS NA TARURA KUONGEZA USMAMIZI NA UFATILIAJI KWA WAKANDARASI

    January 10, 2023
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa