Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ina jumla ya shule za sekondari 33, kati ya hizo 15 ni za Serikali na shule 18 ni shule zisizo za Serikali. Katika shule za sekondari za Serikali kuna jumla ya wanafunzi 11645 (wavulana 4855 na wasichana ni 6790) na shule zisizo za serikali zina jumla ya wanafunzi 2923 (wavulana 1431 na wasichana1492 ) hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wote kuwa 14568. Idadi ya walimu katika shule za Serikali ni 657 wakiwemo wanaume 310 na wanawake 347. Shule zisizo za serikali zina jumla ya walimu 256 kati ya hao wanaume ni 198 na wanawake ni 58 hivyo kufanya jumla ya walimu wote kuwa 913
Hali ya taaluma kwa ujumla inajionyesha kupitia ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya upimaji ya kidato cha pili, mitihani ya taifa ya kidato cha nne na kidato cha sita kama inavyoonekana katika majedwali hapa chini.
JEDWALI NA 1; UFAULU WA WANAFUNZI KATIKA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA SITA KWA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA KUANZIA MWAKA 2017 - 2020 |
||||||||
|
|
MADARAJA YA UFAULU |
WALIOFAULU |
|||||
MWAKA |
IDADI YA SHULE |
DIV I |
DIV II |
DIV III |
DIV IV |
WALIOFELI |
IDADI |
% |
2017 |
7 |
16 |
224 |
236 |
25 |
05 |
506 |
99.01% |
2018 |
9 |
43 |
345 |
294 |
22 |
12 |
704 |
97.77% |
2019 |
9 |
88 |
361 |
222 |
12 |
01 |
683 |
99.56% |
2020 |
9 |
80 |
363 |
283 |
17 |
07 |
759 |
98.53% |
JEDWALI NA 2: UFAULU WA WANAFUNZI KATIKA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE KUANZIA MWAKA 2017 - 2020
|
||||||||
|
|
MADARAJA YA UFAULU |
WALIOFAULU |
|||||
MWAKA |
IDADI YA SHULE |
DIV I |
DIV II |
DIV III |
DIV IV |
WALIOFELI |
IDADI |
% |
2017 |
27 |
55 |
358 |
545 |
1239 |
540 |
2737 |
80.28% |
2018 |
28 |
77 |
344 |
585 |
1206 |
412 |
2213 |
84.30% |
2019 |
28 |
112 |
405 |
538 |
1250 |
280 |
2305 |
89.17% |
2020 |
30 |
291 |
477 |
492 |
1243 |
202 |
2503 |
92.53% |
JEDWALI NA 3: UFAULU WA WANAFUNZI KATIKA MTIHANI WA TAIFA WA UPIMAJI WA KIDATO CHA PILI KUANZIA MWAKA 2017 - 2020
MWAKA
|
IDADI YA SHULE |
DARAJA |
UFAULU |
||||||
I |
II
|
III
|
IV |
FAIL |
JUMLA |
IDADI YA WALIOFAULU |
ASILIMIA YA WALIOFAULU |
||
2017 |
29 |
529 |
479 |
630 |
110 |
103 |
2851 |
2748 |
96.01% |
2018 |
29 |
650 |
492 |
560 |
1214 |
139 |
3055 |
2916 |
95.45% |
2019 |
30 |
504 |
447 |
624 |
1396 |
91 |
3257 |
2971 |
98.60% |
2020 |
31 |
724 |
476 |
609 |
1316 |
87 |
3212 |
3125 |
97.29% |
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa