1.0: UTANGULIZI:
1.3: ENEO
1.4: UTAWALA
Kiutawala, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ina Tarafa 1, Kata 18, Mitaa 192 na Jimbo moja la Uchaguzi wa Mbunge ambalo ni Iringa mjini.
1.5: UONGOZI
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa inaundwa na Baraza la Madiwani wa kuchaguliwa 18, Mheshimiwa Mbunge Jimbo la Uchaguzi la Iringa Mjini, Waheshimiwa Wabunge viti maalum 2 na Madiwani wa viti maalum sita (6) Wakuu wa Idara 13,Wakuu wa Vitengo 6 na Mkurugenzi wa Manispaa ambaye ni Katibu wa Halmashauri.
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ina Kamati za kudumu kama ifuatavyo:
1.6: IDADI YA WATU:
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa inajumla ya wakazi wapatao 158,989 (kutokana na maoteo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012). Kati ya wakazi hao75,565ni Wanaume na 83,424 niWanawake. Ina jumla ya Kaya 37,854 ambapo wastani wa ukubwa wa Kaya ni 4.2.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa