• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Elimu Sekondari


UTANGULIZI

Idara ya Elimu Sekondari ni moja kati ya idara 13 na vitengo 06 vinavyounda Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.

IDADI YA WATUMISHI 

Idara ya Elimu Sekondari ina jumla ya watumishi 732, wakiwemo :- Maafisa ngazi ya Halmashauri 03, Wakuu wa Shule 14, Walimu 667 na Watumishi wasio walimu 31

IDADI YA SHULE ZA SEKONDARI NA WANAFUNZI

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ina jumla ya shule za sekondari 29 zikiwemo za Serikali 14 na zisizo za Serikali 15. Idadi ya wanafunzi wa shule za Serikali ni 9622 wakiwemo wavulana 3925 na wasichana 5697.

MAJUKUMU YA IDARA

 

  • Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na mafunzo ya ufundi, sheria na kanuni zinazoongoza utoaji wa elimu ya sekondari.
  • Kufanya ufuatiliaji wa Mtaala katika tendo zima la ufudishaji na ujifunzaji wa walimu na wanafunzi.
  • Kuandaa mpango wa likizo wa  walimu na watumishi wengine wa ngazi ya elimu ya sekondari katika Halmashauri.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya Taifa ya kidato cha II, IV na cha VI inayoendeshwa kwa shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kudhibiti akaunti ya elimu ya sekondari na kuhakikisha kuwa fedha za elimu ya sekondari zinatumika kama ilivyokusudiwa. Pia kugagua na kuhakiki hundi zote zinazoletwa kutoka shule za sekondari za serikali na kupitisha kwa ajili ya kufanyiwa malipo.
  • Kufanya tathimini ya matokeo ya  mitihani ya Taifa ya kidato cha II, IV, na VI na maendeleo ya elimu ya sekondari katika Halmashauri.
  • Kufanya ufuatiliaji na kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia pamoja na kupanda miti ya kivuli na maua.
  • Kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu na wanafunzi wa shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kufuatilia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa shule za sekondari  kutoka Ofisi ya mdhibiti wa ubora wa elimu ya sekondari Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
  • Kuratibu na kusimamia michezo katika shule za sekondari (UMISSETA)
  • Kuratibu, kukusanya na kuchambua takwimu za  shule za sekondari (TSS) na kujaza kwenye mfumo wa takwimu wa kitaifa.
  • Kuratibu ujazaji wa selfom za machaguo ya wanafunzi wa kidato cha nne kwenye mfumo.
  • Kuandaa mpango wa mafunzo kazini kwa walimu na watumishi wengine wa Idara ya Elimu Sekondari.
  • Kusimamia na kufuatilia ujenzi na ukarabati wa madarasa, Maabara , Nyumba za walimu, majengo ya utawala  na matundu ya vyoo.
  • Kuhakikisha kuwa walimu na watumishi wengine wa shule za sekondari wanafanyiwa tathimini ya wazi ya utendaji kazi (Open Performance Review and Appraisal System -OPRAS).
  • Kukusanya, kuchanganua, kutuma na kutoa takwimu sahihi za elimu ya sekondari katika Halmashauri.
  • Kufanya makisio ya mahitaji ya walimu kimadaraja na kimasomo.
  • Kuhakikisha nyaraka, miongozo na maagizo  yanayotolewa ngazi ya juu yanapelekwa shuleni kwa wakati.
  • Kufuatilia mapato na matumizi ya fedha za elimu bila malipo katika shule za sekondari za serikali.
  • Kuandaa taarifa ya utekekelezaji na taarifa ya mapato na matumizi kwa kila robo na kutuma Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa na Ofisi ya Rais TAMISEMI.

 


MPANGO MIKAKATI YA UBORESHAJI ELIMU/TAALUMA

 

  • Kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa mitihani ya kidato cha nne na kufikia asilimia 95
  • Kuendelea kujenga vyumba vya madarasa 20 katika shule za sekondari zilizopo na kufanya yafikie 266
  •  
  • Kukamilisha ujenzi wa mabweni mawili katika shule ya sekondari Tagamenda na Mawelewele.
  • Kuendelea kujenga miundombinu katika shule mpya ya sekondari Mivinjeni
  • Kukamilisha ujenzi wa maabara 24 katika shule za sekondari.


HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

MUHTASARI WA HATUA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KATIKA KIPINDI CHA KUANZIA  MWAKA 2015 HADI DESEMBA 2019 KWA KIPINDI CHA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

NA
JINA LA MRADI
LENGO LA MRADI
MUDA WA KUANZA
 
KIASI CHA FEDHA ZILIZOTUMIKA
HATUA ZA UTEKELEZAJI ZILIZOFIKIWA
MAELEZO 
FEDHA ZA NDANI
FEDHA ZA NJE

ELIMU SEKONDARI

6
Ujenzi wa vyumba 03 vya madarasa na ofisi 1 vya shule ya sekondari Mivinjeni
Kuboresha miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
             64,000,000

Vyumba vyote vya madarasa vimeezekwa
Ujenzi umekamilika
7
Ujenzi wa maabara 03 katika  shule ya sekondari  Kwakilosa
Kuboresha miundombinu  ya kujifunza na kufundishia Masomo ya sayansi kwa vitendo
2016
         101,000,000

Ujenzi umefikia asilimia 80
Ujenzi unaendelea
8
Ujenzi madarasa 4 katika shule ya Sekondari Mawelewele
Kuboresha miundombinu  ya kujifunza na kufundishia
2015
           47,271,699

Madarasa 4 yamekamilika
Ujenzi umekamilika
9
Ujenzi ujenzi wa maabara 03 katika shule ya sekondari kihesa
Kuboresha miundombinu  ya kujifunza na kufundishia Masomo ya sayansi kwa vitendo
2015
         146,580,000

Ujenzi umekamilika
Ujenzi umekamilika
10
Ujenzi wa maabara 03 katika shule ya sekondari Ipogolo
Kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia Masomo ya sayansi kwa vitendo
2015
           48,850,000

Ujenzi umefikia hatua ya kupiga plasta
Maabara moja imekamilika inatumika, maabala mbili zipo hela
11
Mradi wa ujenzi wa maabara 01 ya fizikia sekondari ya Mtwivila
Kuboresha miundombinu ya kujifunza na kufundishia Masomo ya sayansi kwa vitendo
2015
           25,088,500

Jengo limeezekwa
Ujenzi unaendelea
12
Ukarabati wa jengo la Maktaba katika shule ya wasichana Iringa
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
               30,000,000

Ukarabati umekamilika
Jengo linatumika
13
Umaliziaji wa jengo la TEHAMA katika shule ya sekondari ya wasichana Iringa
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
               10,500,000

Ujenzi umekamilika
Jengo linatumika
14
Ukarabati wa maabara 01 katika shule ya sekondari Mawelewele
Kuboresha miundombinu ya kujifunza na kufundishia Masomo ya sayansi kwa vitendo
2017
               18,000,000

Maabara ipo katika hatua ya umaliziaji sawa na asilimia 80
Ukarabati umekamilika, maabara inatumika
15
Ujenzi wa vyumba 04 vya madarasa katika shule ya sekondari Mawelewele
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
               80,000,000

Ujenzi umekamilika
Vyumba vinatumika
16
Ujenzi wa choo matundu 10 katika shule ya sekondari Mawelewele
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
               11,000,000

Ujenzi umekamilika
Vyoo vinatumika
17
Mradi wa ujenzi wa darasa moja katika shule ya sekondari mlandege
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
           21,000,000

Ujenzi umekamilika
Unatumikia
18
Ukamilishaji wa chumba 1 cha darasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari Nduli
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
           11,659,920

Ujenzi umekamilika na mradi unatumika
Unatumika
19
Ukarabati wa maabara katika  S/S Tagamenda
Kuboresha miundombinu ya kujifunza na kufundishia Masomo ya sayansi kwa vitendo
2017
               18,000,000

Ujenzi umekamilika
Umekamilika, maabara inatumika
20
Ujenzi wa choo matundu 10 katika shule ya sekondari Tagamenda
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
           11,000,000

Ujenzi umekamilika
Mradi umekamilika
21
Ujenzi wa vyumba 04 vya madarasa katika shule ya sekondari Tagamenda
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
           80,000,000

Ujenzi umekamilika
Ujenzi umekamilika
22
Ujenzi wa mabweni 02 katika shule ya sekondari Tagamenda
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
             150,000,000

Ujenzi umekamilika
Mradi umekamilika na unatumika
23
Ukimilishaji wa chumba 01 cha maabara katika shule ya sekondari Mlamke
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2017
           18,537,000

Ujenzi umekamilika
Ujenzi umekamilika
24
Ujenzi wa darasa 1 katika shule ya sekondari Mlandege
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2018
               20,000,000

Ujenzi umekamilika
Unatumika
25
Ujenzi wa madarasa 2 katika shule ya sekondari Kihesa
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2018
           11,937,250

Ujenzi umekamilika
Ujenzi umekamilika
26
Ujenzi darasa 1 katika shule ya sekondari Nduli
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2018
               20,000,000

Ujenzi wa darasa umekamilika
Ujenzi wa darasa umekamilika
27
Ujenzi wa madarasa 3 katika shule ya sekondari Tagamenda
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2018
           15,500,000

Ujenzi umefikia asilimia 75
Ujenzi unaendelea
28
Ukamilishaji wa madarasa 3 katika shule ya sekondari Ipogolo
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2018
                 8,000,000

Ujenzi umefikia asilimia 60
Ujenzi unaendelea
29
Ujenzi wa darasa 1 katika shule ya sekondari Mawelewele
Kuboresha Miundombinu ya kujifunza na kufundishia
2018
                 8,000,000

Jengo limepauliwa
Ujenzi unaendelea katika hatua ya kupiga lipu
30
Ukamilishaji wa vyoo katika shule ya sekondari Mivinjeni
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2018
           11,000,000

Vyoo vimejengwa na kupigwa paa
Ujenzi unaendelea katika hatua ya kuweka miundombinu ya maji
31
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara katika shule ya sekondari Mkwawa
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2018
           63,950,000

Vyumba 2 vya maabara vimekamilika
Maabara zinatumika
32
Ujenzi wa darasa 1 katika shule ya sekondari Kreluu
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2018
           20,000,000

Ujenzi wa darasa umekamilika
Darasa linatumika
33
Ukamilishaji wa chumba 1 cha Maabara katika shule ya sekondari Kwakilosa
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2018
           32,000,000

Ujenzi wa chumba cha maabara umekamilika
Maabara inatumika
34
Ujenzi wa vyumba 3 vya maabara katika shule ya sekondari Mivinjeni
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
           20,000,000

Jengo limeezekwa
Katika hatua ya upigaji wa lipu
35
Uendelezaji wa ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na ofisi katika shule ya sekondari Mivinjeni
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
           64,000,000

Ujenzi umefikia asilimia 85
Ujenzi unaendelea
36
Ujenzi wa bwalo la chakula katika shule ya sekondari Mawelewele
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
             100,000,000

Ujenzi umefikia asilimia 95
Ujenzi unaendelea
37
Ujenzi wa Maktaba katika shule ya sekondari Mawelewele
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
               50,000,000

Ujenzi umekamilika na Maktaba inatumika
Umekamilika, maktaba inatumika
38
Ukarabati wa miundombinu katika shule ya sekondari Lugalo
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
         966,891,160

Ukarabati umekamilika na Madarasa yanatumika
Mradi umekamilika
39
Ujenzi wa mabweni 2 katika shule ya sekondari ya wasichana Iringa
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
         233,000,000

Ujenzi umekamilika
Mabweni yanatumika
40
Ujenzi wa bwalo la chakula katika shule ya sekondari Tagamenda
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
             100,000,000

Ujenzi umefikia asilimia 95
Ujenzi unaendelea
41
Ujenzi wa Maktaba katika shule ya sekondari Tagamenda
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
               50,000,000

Ujenzi umekamilika na Maktaba inatumika
Maktaba inatumika
42
Kusaidia ujenzi wa vyumba  12 vya Madarasa, Ofisi 4 za walimu na vyumba 03 vya maabara katika  shule mpya 02 za Sekondari ya Isakalilo na Igumbilo
Kuboresha miundombinu ya Elimu Sekondari
2019
             128,000,000

Vyumba 03  vya madarasa katika shule ya sekondari Isakalilo vimeezekwa na vitatu vipo hatua ya lenta, katika shule ya Sekondari Igumbilo vyumba vyote sita vipo hatua ya kufunga lenta
Ujenzi unaendelea

JUMLA

2,814,765,529


HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
MIRADI ILIYOTEKELEZWA KUANZIA 2017 HADI 2020






JINA LA SHULE
JINA LA MRADI
KIASI CHA FEDHA KILICHOPOKELEWA
TAREHE YA MAPOKEZI
CHANZO CHA FEDHA
HATUA YA UTEKELEZAJI
MAWELEWELE
UJENZI WA MADARASA 4
               80,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
MAWELEWELE
UJENZI WA MATUNDU YA VYOO 10
               11,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
MAWELEWELE
UMALIZIAJI WA MAABARA 1
               18,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
TAGAMENDA 
UJENZI WA MADARASA 4
               80,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
TAGAMENDA 
UJENZI WA MABWENI 2
             150,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
TAGAMENDA 
UJENZI WA MATUNDU YA VYOO 10
               11,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
TAGAMENDA 
UMALIZIAJI WA MAABARA 1
               18,000,000.00
10.03.2017
EP4R
Mradi umekamilika
IRINGA GIRLS
UJENZI WA BWENI 1
               75,000,000.00
30.12.2017
EP4R
Mradi umekamilika
TAGAMENDA 
UJENZI WA MAKTABA 1
               50,000,000.00
19.01.2019
EP4R
Mradi umekamilika
TAGAMENDA 
UJENZI WA BWALO 1
             100,000,000.00
19.01.2019
EP4R
Mradi Upo hatua ya umaliziaji
MAWELEWELE
UJENZI WA MAKTABA 1
               50,000,000.00
19.01.2019
EP4R
Mradi umekamilika
MAWELEWELE
UJENZI WA BWALO 1
             100,000,000.00
19.01.2019
EP4R
Mradi Upo hatua ya umaliziaji
LUGALO
UKARABATI MKUBWA WA MIUNDOMBINU
             966,891,160.00
27.04.2019
EP4R
Ukarabati umekamilika
IRINGA GIRLS
UKARABATI MKUBWA WA MIUNDOMBINU
             754,483,086.00
16.06.2020
EP4R
Ukarabati haujaanza
KWAKILOSA
UJENZI WA BWALO 1
             100,000,000.00
26.06.2020
EP4R
Ujenzi bado haujaanza
MAWELEWELE
UJENZI WA BWENI 1
               80,000,000.00
26.06.2020
EP4R
Ujenzi bado haujaanza
MAWELEWELE
UKAMILISHAJI WA MAABARA
               50,000,000.00
26/06/2020
EP4R
Ujenzi bado haujaanza

 JUMLA 
  2,694,374,246.00















Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa