SHERIA YA FEDHA YA SERIKALI ZA MITAA, 1982
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
(ADA NA USHURU) 2013
|
Sheria ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa sheria ndogo hii, utalipwa kwa halmashauri au kwa wakala wake ambaye atatoa stakabadhi kama kielelezo cha kupokea malipo hayo. (2) sio utetezi kwa mujibu wa sheria ndogo hizi mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi Kila mmiliki wa ardhi ambayo imesimikwa mnara wa mawasiliano wa kampuni yoyote anapaswa kulipa ada ya shilingi Laki Moja (100,000/=) kwa mwaka. Halmashauri ya Manispaa ya Iringa itauza viwanja kulingana na soko la thamani ya ardhi ya eneo husika Halmashauri haitawajibika kwa hasara au uharibifu wowote utakaotokea kwa namna yoyote ile, aidha wakati wa kukusanya madeni au kwa mali zitakazokamatwa na kushikiliwa na halmashauri.
(b) kukataa au kushindwa kutii maagizo halali ya afisa muidhiniwa (c) kumzuia kwa namna yoyote ile afisa muidhinishwa kutekeleza majukumu yake; (d) kukataa au kujaribu kukataa kulipa ada au ushuru anaopaswa kulipwa; (e) kushawishi mtu au kundi la watu kutolipa ada au ushuru; (f) kukwepa au kujaribu kukwepa kulipa ada au ushuru; (g) kuruhusu wahudumu wa hoteli, baa au sehemu yoyote ya biashara kufanya kazi bila kupima afya (h) kuuza au kununua mifugo nje ya eneo la mnada (i) kufanya biashara katika eneo lisiloruhusiwa;
|
Ada na Ushuru
Wajibu wa kulipa Ada na ushuru kulipwa kwa halmashauri Ada ya minara ya mawasiliano Ada ya uuzaji wa viwanja Wajibu kwa Halmashauri kwa mali iliyokamatwa Ushuru wa hoteli Mamlaka ya kuingia kwenye jengo Adhabu |
JEDWALI LA KWANZA (KIFUNGU CHA 4)
NA
|
AINA YA MADINI
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
MCHANGA
|
SHILINGI 200/= KWA TANI MOJA.
|
2
|
MAWE
|
SHILINGI 200/= KWA TANI MOJA
|
3
|
CHOKAA
|
SHILINGI 200/= KWA TANI MOJA
|
4
|
KOKOTO
|
SHILINGI 250/= KWA TANI MOJA
|
JEDWALI LA PILI (KIFUNGU CHA 4)
ADA YA KUWEKA MBAO ZA MATANGAZO
NA
|
AINA YA BANGO
|
KIWANGO CA ADA NA USHURU
|
1
|
MABANGO YASIYONG’AA
|
TSHS. 10/= KWA SENTIMITA MOJA YA MRABA KWA MWAKA
|
2
|
MABANGO YANAYONG’AA
|
TSH. 15/= KWA SENTIMITA MOJA YA MRABA KWA MWAKA
|
3
|
MATANGAZO YA BIASHARA KWA KUTUMIA VIPAZA SAUTI NA FANI ZA SANAA
|
TSHS. 4,000/= KWA SIKU MOJA.
|
JEDWALI LA TATU (KIFUNGU CHA 4)
ADA YA KUMBI ZA HALMASHAURI NA VIFAA VYA HALMASHAURI
NA
|
AINA YA KIFAA
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
(I) KUMBI ZA HALMASHAURI (KITANZINI)
(A)UKUMBI MKUBWA (B)UKUMBI MDOGO |
(A)50,000/= KWA MKUTANO AU SEMINA KWA SIKU
(B) 10,000/= KWA SIKU (A) 20,000/= KWA HARUSI NA 25,000/= KWA SHUGHULI ZA KIBIASHARA |
2
|
(II) VITI VIDOGO
|
THS. 200/=@ KIMOJA KWA SIKU
|
JEDWALI LA NNE (KIFUNGU CHA 4)
USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA
NA
|
AINA YA MFUGO
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
|
NG’OMBE
|
2000/=
|
|
MBUZI/ KONDOO
|
500/=
|
|
NGURUWE
|
1000/=
|
JEDWALI LA TANO (KIFUNGU CHA 4)
ADA YA UTUMIAJI WA MASOKO
|
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
USHURU WA MEZA
|
THS. 200/=KWA SIKU
|
JEDWALI LA SITA (KIFUNGU CHA 4)
USHURU WA MIFUGO, MINADA, BIDHAA NA MAGULIO MENGINE
NA
|
AINA YA BIDHAA
|
GHARAMA
|
1
|
NG’OMBE
|
TSH. 2,000/=@NGOMBE
|
2
|
KONDOO
|
TSHS 500/=@KONDOO
|
3
|
MBUZI
|
TSHS. 500/=@MBUZI
|
4
|
BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA VIWANDANI/ KARAKANA
|
TSHS 200/=
|
5
|
WAUZA MITUMBA
|
TSHS 500/=
|
6
|
WAUZA BIA NA VINYWAJI BARIDI
|
TSHS 1,000/=
|
7
|
WAUZA NAFAKA
|
TSHS 500/=KWA GUNIA
|
8
|
NDEGE(KUKU,BATA)
|
TSHS 200/=
|
9
|
POMBE ZA ASILI
|
TSHS 500/=
|
8
|
WAUZA MADAWA YA ASILI
|
TSHS 500/=
|
9
|
WAUZA VIPURI VYA BAISKELI,PIKIPIKI,MAGARI
|
TSHS 500/=
|
10
|
WAUZA DAGAA
|
TSHS 500/=
|
11
|
WAUZA SAMAKI
|
TSHS 500/=
|
12
|
WAUZA CHUMVI,NYAMA NA MBOGA ZA MAJANI
|
TSHS 500/=
|
13
|
WAUZA VYUNGU
|
TSHS 500/=
|
14
|
WAUZA VYOMBO VYA NYUMBANI
|
TSHS 500/=
|
15
|
WAUZA VIATU
|
TSHS 500/=
|
16
|
WAUZA NGUO MPYA
|
TSHS 500/=
|
17
|
MAFUNDI BAISKELI
|
TSHS 500/=
|
18
|
BIDHAA NYINGINE AMBAZO HAZIJATAJWA
|
TSHS 500/=
|
19
|
MIFUGO MINGINE AMBAYO HAIJATAJWA
|
TSHS 500/=
|
JEDWALI LA SABA (KIFUNGU CHA 4)
ADA YA UKODISHAJI MITAMBO
NA |
AINA YA MTAMBO |
|
|
KAWANGO CHA ADA NA USHURU
|
|
||
1 |
10 TONS ISUZU TIPPER
|
150,000/=
|
|
2 |
7TONS ISUZU TIPPER
|
120,000/=
|
|
3 |
31/2 CARGO TRUCK WITH CRANE
|
80,000/=
|
|
4 |
CONCRETE MIXER
|
50,000/=
|
|
5 |
CONCRETE POKER VIBATOR
|
25,000/=
|
|
6 |
ASPHALT CUTTER
|
50,000/=
|
|
7 |
ROAD SWEEPER
|
60,000/=
|
|
8 |
AIR COMPRESSOR
|
150,000/=
|
|
9 |
PEDESTRIAN ROLLER
|
80,000/=
|
|
10 |
STEEL WHEEL ROLLER
|
200,000/=
|
|
11 |
PLATE COMPACTOR
|
50,000/=
|
|
12 |
WATER BOWSER
|
120,000/=
|
|
13 |
BITUMEN BOLLER WITH SPRAYER
|
150,000/=
|
|
14 |
HAND PUMP BITUMEN SPRAYER
|
50,000/=
|
|
15 |
CHIPPING SPREADER
|
100,000/=
|
|
16 |
WHEEL LOADER
|
500,000/=
|
|
JEDWALI LA NANE (KIFUNGU CHA 4)
VIBALI VYA UJENZI
AINA YA UJENZI |
KIWANGO CHA ADA NA USHURU (TSHS)
|
VIWANJA VYOTE VYA MAKAZI |
i)0 – 600 Mita za mraba = 25,000/=
|
ii)601 – 800 Mita za Mraba = 32,000/=
|
|
iii)801 – 1000 Mita za Mraba = 38,000/=
|
|
iv) 1001 – 1500 Mita za Mraba 50,000/=.
|
|
v) 1501-@ Mita za mraba 100 =1000/=
|
|
TAASISI MBALIMBALI (SHULE,VYUO, NYUMBA ZA IBADA,OFISI MBALIMBALI, KUMBI) AMBAZO SIO GHOROFA |
150,000/=
|
VIWANDA VIKUBWA
|
150,000/=
|
VIWANDA VYA UZALISHAJI
|
150,000/=
|
VIWANDA VIDOGO
|
50,000/=
|
VITUO VYA MAFUTA
|
150,000/=
|
UKARABATI
|
25,000/=
|
UZIO/FENSI
|
25,000/=
|
HIFADHI NDOGO,UWANJAWA MICHEZO,HOTELI ZA UTALII AMBAZO SIO GHOROFA
|
150,000/=
|
GHOROFA
-GHOROFA 1-3 |
150,000/=
|
-GHOROFA 4-6
|
150,000/=
|
-GHOROFA 6 NA KUENDELEA
|
150,000/=
|
JEDWALI LA TISA (KIFUNGU CHA 4)
ADA YA MAEGESHO
NA
|
AINA YA GARI
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
GARI CHINI YA TANI 10
|
2000/=
|
2
|
MAROLI ZAIDI YA TANI 10
|
3000/=
|
3
|
GARI NDOGO
|
500/=
|
4
|
PICK UP/STATION WAGON
|
1000/=
|
JEDWALI LA KUMI (KIFUNGU CHA 4)
USHURU WA STENDI
|
AINA YA GARI
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
MABASI MAKUBWA
|
1500/=
|
2
|
MABASI YA KATI
|
1500/=
|
3
|
HIACE
|
1000/=
|
4
|
MAGARI MADOGO
|
500/=
|
6
|
GARI ZA MIZIGO
-TANI 1-3 -TANI 4-10 |
1000/=
2000/= |
JEDWALI LAKUMI NA MOJA (KIFUNGU CHA 4)
ADA ZA UKATAJI BARABARA
NA
|
AINA YA BARABARA
|
UKUBWA
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
BARABARA YA LAMI
|
MITA MOJA
|
150,000/=
|
2
|
BARABARA YA CHANGARAWE
|
MITA MOJA
|
70,000/=
|
3
|
BARABARA YA VUMBI
|
MITA MOJA
|
20,000/=
|
4
|
ADA YA UZIO WAKATI WA UJENZI(INALIPWA KILA BAADA YA MIEZI MITATU)
|
MITA MOJA
|
1000/=
|
JEDWALI LA KUMI NA MBILI (KIFUNGU CHA 4)
ADA ZA UCHANGISHAJI WA HUDUMA ZA USAFI
NA
|
TAASISI
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU KWA MWAKA
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU KWA MWEZI
|
|
TAASISI ZOTE NA MASHIRIKA
|
300,000/=
|
25,000/=
|
|
HOSPITALI YA RUFAA
|
600,000/=
|
50,000/=
|
|
VIWANDA VIKUBWA
|
600,000/=
|
50,000/=
|
|
VIWANDA VYA KUOKA MIKATE[BAKERY]
|
300,000/=
|
25,000/=
|
|
HOTELI ZA KITALII
|
300,000/=
|
25,000/=
|
|
MIGAHAWA
|
60,000/=
|
5000/=
|
|
USEREMALA
|
30,000/=
|
2,500/=
|
|
WAUZA MBAO
|
60,000/=
|
5,000/=
|
|
MASHINE NDOGO ZA KUSAGA NA KUKOBOA
|
30,000/=
|
2,500/=
|
|
DUKA LA JUMLA
|
50,000/=
|
4,200/=
|
|
DUKA LA REJAREJA
|
24,000/=
|
2,000/=
|
|
GHALA/GODOWN.
|
150,000/=
|
25,000/=
|
|
VIWANDA VIDOGO VYA KUKAMU MAFUTA
|
50,000/=
|
4,200/=
|
|
|
30,000/=
|
2,500/=
|
|
MACHINJIO.
|
300,000/=
|
25,000/=
|
|
BAA NA MGAHAWA.
|
60,000/=
|
5,000/=
|
|
MINI SUPER MARKET.
|
0
|
0
|
|
VILABU VYA POMBE ZA KIENYEJI.
|
0
|
0
|
|
NYUMBA ZA KUISHI.
|
24,000/=
|
2,000/=
|
|
SALUNI ZA ME NA KE
|
0
|
0
|
|
GROCERY[mini bar]
|
24,000/=
|
2,000/=
|
|
NYUMBA ZA KULALA WAGENI
|
60,000/=
|
5,000/=
|
|
VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI
|
60,000/=
|
5,000/=
|
|
VITUO VYA MAFUTA
|
130,000/=
|
15,000/=
|
|
MADUKA YA VIFAA VYA UJENZI NA
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA NGUO NA VIATU
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA DAWA [PHARMACY]
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA DAWA MUHIMU
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA MIKATE NA VITAFUNWA
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA VYOMBO
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA KUUZA MAGODORO NA SAMANI
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA KUUZA SPEA ZA MAGARI,PIKIPIKI NA BAISKELI
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA KUUZA SHAJALA NA KURUDUFISHA[photocopy]
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA KUUZA VIPODOZI
|
0
|
0
|
|
MADUKA YA KUUZA SIMU/SAA.
|
0
|
0
|
|
MAMA NA BABA LISHE
|
0
|
0
|
37
|
MGAHAWA
|
60,000/=
|
5,000/=
|
Gharama nyingine ambazo hazikutajwa hapo juu zitatozwa sh 24,000 kwa mwaka, sawa na sh 2,000 kwa mwezi.
JEDWALI LA KUMI NA TATU (KIFUNGU CHA 4)
USHURU WA SOKO KWA MAZAO/BIDHAA ZITOKANAZO NA MAZAO SOKONI
UTAKUWA KAMA IFUATAVYO;
NA
|
ADA YA USHURU
|
KIWANGO CHA ADA NA USHURU
|
1
|
MAHINDI |
500/=@GUNIA
|
2
|
MAHARAGE
|
1000/=@GUNIA
|
3
|
MPUNGA
|
500/=@ GUNIA
|
4
|
DAGAA
|
1000/=@ GUNIA
|
6
|
SAMAKI
|
200/= MPAKA 2000/=
|
10
|
VITUNGUU
|
1000/=@GUNIA
|
11
|
ALIZETI
|
500/=@ GUNIA
|
12
|
KABEJI, MACHUNGWA, MIWA, NANASI,NDIZI,PARACHICHI
|
5000/= KWA TANI MOJA
|
13
|
VIAZI
|
1000/=@GUNIA
|
14
|
HOHO
|
200/= KWA TENGA
|
15
|
KARANGA
|
2000/= @GUNIA
|
16
|
NJEGERE MAGANDA
|
500/=@GUNIA
|
17
|
NYANYA
|
200/=@TENGA
|
18
|
MCHELE
|
500/= @ GUNIA/ KILO MIA MOJA
|
19
|
UNGA
|
500/=@ GUNIA/ KILO MIA MOJA
|
JEDWALI LA KUMI NA NNE (KIFUNGU CHA 4)
ADA ZA MATANGAZO ZA TELEVISHENI YA MANISPAA YA IRINGA (IMTV)
NA
|
AINA YA TANGAZO |
MUDA WA TANGAZO |
TSHS |
1.
|
KUDHAMINI KIPINDI CHA BURUDANI, KWA KULETA WASANII NA KUANDAA KIPINDI , KUDHAMINI KIPINDI CHA IMTV CHA BURUDANI, MAIGIZO YA IMTV.
|
DAKIKA 30 – 45 |
500,000 KWA MWEZI. |
2.
|
TAARIFA YA HABARI
|
MWEZI MMOJA. |
5,000,000 |
3.
|
VOICE AND TITLES SCROLL
|
SEKUNDE 30 – 60 |
10,000 |
4.
|
VOICE AND TITLES SCROLL
|
SEKUNDE 60 |
15,000 |
5.
|
GRAPHICS
|
SEKUNDE 30 |
20,000 |
6.
|
GRAPHICS
|
SEKUNDE 60 |
25,000 |
7.
|
FULL TITLES, VOICE AND GRAPHICS
|
SEKUNDE 60 |
40,000 |
8.
|
ENTERTAINMENTS ADVERT
|
SEKUNDE 60 |
50,000 |
9.
|
DURING PEAK TIME ADVERTS
( KWENYE TAARIFA YA HABARI) |
SEKUNDE 30 |
50,000 |
SEKUNDE 60 |
100,000 |
||
10.
|
KUDHAMINI VIPINDI VYA KIJAMII VYA IMTV
|
DAKIKA 30 |
100,000 |
DAKIKA 45 |
150,000 |
||
11.
|
MATANGAZO YA KAMPUNI MBALIMBALI ZA SIMU/MAWASILIANO NA MASHIRIKA MBALIMBALI
|
KWA SIKU ( ASUBUHI, MCHANA NA JIONI) |
9,000,000 KWA MWEZI |
Nembo na chapa ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imebandikwa kwenye sheria ndogo hii
……………………………….
THERESIA MAHONGO
MKURUGENZI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
……………………………….
AMANI MWAMWINDI
MEYA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
NAKUBALI,
……………………..
MIZENGO K.P PINDA (MB)
WAZIRI MKUU
DODOMA
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa