Kiambatisho Na. 2:
MUHTASARI WA MPANGO NA BAJETI YA MAENDELEO KWA MWAKA 2017/18
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika mwaka wa fedha 2017/18 imeidhinishiwa kiasi cha TZS 13,013,112,177 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali. Muhtasari wa fedha zilizoidhinishwa ni kama ifuatavyo;
NA |
JINA LA MRADI/PROGRAM |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI |
1. |
Mpango wa uendelezaji wa miji (ULGSP)
|
UPG |
4,975,531,777 |
2. |
Mradi wa kusaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGSP)
|
LGDG |
1,041,933,990 |
3. |
Miradi ya kuchochea Maendeleo ya Jimbo
|
CDCF |
36,372,000 |
4. |
Miradi ya usaidizi kupitia mapato ya ndani
|
MAPATO YA NDANI |
2,508,496,210 |
5. |
Mradi ya Usambazaji maji vijijini (RWSSP)
|
BENKI YA DUNIA |
1,876,606,000 |
6. |
Mpango wa kusaidia sekta ya Barabara (RSSP)
|
MFUKO WA BARABARA |
1,322,397,400 |
7. |
Mradi wa kusaidia ulinzi na usalama wa mtoto
|
UNICEF |
258,821,400 |
8. |
Mradi wa kunusuru kaya maskini (PSSN)
|
TASAF |
871,344,000 |
9. |
Mpango wa maendeleo kwa sekta ya Kilimo (ASDP)
|
SERIKALI KUU |
53,969,400 |
10. |
Mradi wa usafi za mazingira (WASH)
|
BENKI YA DUNIA |
44,000,000 |
11. |
Mradi wa kudhibiti magonjwa ya UKIMWI na Kifua Kikuu
|
GLOBAL FUND |
23,640,000 |
|
JUMLA KUU |
|
13,013,112,177 |
MIRADI YA MAENDELEO ILIYOIDHINISHWA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI KWA MWAKA 2017/2018
1. IDARA YA UTAWALA
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kusaidia ununuzi wa Jenereta la Halmashauri
|
IMC |
MAPATO YA NDANI |
50,000,000 |
2. |
Kusaidia ujenzi wa ofisi ya kata Mshindo
|
MSHINDO |
|
5,000,000 |
3. |
Kusaidia ujenzi wa ofisi ya kata Kitanzini
|
KITANZINI |
|
5,000,000 |
4. |
Kusaidia ujenzi wa ofisi ya kata Mkwawa
|
MKWAWA |
|
5,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
65,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Ununuzi wa Pikipiki 5 kwa ajili ya Watendaji wa kata
|
IMC |
BENKI YA DUNIA |
42,500,056 |
2. |
Kusaidia kuiwisha Mkataba wa Huduma kwa Mteja
|
IMC |
|
19,960,301 |
3. |
Kusaidia vitendea kazi kwa ajili ya ofisi za Kata 19 na Mitaa 192
|
IMC |
|
10,550,000 |
4. |
Kusaidia vitendea kazi kwa ajili ya Idara ya Maendeleo ya Jamii
|
IMC |
|
8,000,000 |
5. |
Kusaidia vitendea kazi kwa ajili ya Idara ya Utumishi
|
IMC |
|
16,000,000 |
6. |
Ununuzi wa mashine 20 za kukusanyia mapato (POS)
|
IMC |
|
18,000,000 |
7. |
Kusaidia ufungaji na utoaji ushauri kwa mfumo wa kukusanyia taarifa (GIS)
|
IMC |
|
73,743,483 |
8. |
Kutoa mafunzo kwa Wachumi 5 juu ya uandaaji wa maandiko na menejimenti ya miradi
|
IMC |
|
15,035,000 |
9. |
Kufanya mikutano ya uhamasishaji juu ya usimamizi wa taka ngumu na maji machafu kwa wajumbe 80 wa WDC katika kata 5
|
IMC |
|
13,127,649 |
10. |
Kufanya mikutano ya uhamasishaji juu ya usimamizi wa mazingira kwa wajumbe 36 wa WEMC katika kata 6
|
IMC |
|
11,960,000 |
|
JUMLA BENKI YA DUNIA |
|
|
228,876,489 |
|
|
|
|
|
1. |
Kutoa mafunzo kazini kwa waajiriwa wapya juu ya Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma
|
IMC |
CBG |
4,500,000 |
2. |
Kutoa mafunzo kwa Watakwimu 3 na Wachumi 2 juu ya usimamizi wa Kanzidata
|
IMC |
|
4,750,000 |
3. |
Kusaidia Maafisa Utumishi kufanya Mtihani wa Kitaalumu
|
IMC |
|
3,760,000 |
4. |
Kutoa mafunzo kwa Maafisa Utumishi 4 juu ya masuala ya Itifaki
|
IMC |
|
8,726,600 |
5. |
Kutoa mafunzo juu ya utunzaji wa kumbukumbu na uandishi wa dondoo za vikao kwa Watendaji wa Kata 18 na Watendaji wa Mitaa 192
|
IMC |
|
8,210,000 |
6. |
Kutoa mafunzo ya siku 3 kwa Whe. Madiwani juu ya usimamizi wa miradi
|
IMC |
|
5,790,000 |
7. |
Kutoa mafunzo ya siku 4 kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii juu ya Menejimenti na Upangaji wa Miradi
|
IMC |
|
12,127,360 |
8. |
Kutoa mafunzo kwa WEO 18, MEO 192 na Whe. Madiwani 24 juu ya O&OD iliyoboreshwa
|
IMC |
|
32,148,060 |
9. |
Kusaidia WEO 18 na MEO 192 kuainisha Jitihada za Jamii
|
IMC |
|
12,162,040 |
10. |
Kusaidia ununuzi wa samani za ofisi kwa ajili ya kata 10
|
IMC |
|
12,019,340 |
|
JUMLA CBG |
|
|
104,193,400 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia ujenzi wa ofisi ya kata Isakalilo
|
ISAKALILO |
CDG |
25,301,889 |
2. |
Kusaidia ujenzi wa ofisi ya kata Mshindo
|
MSHINDO |
|
5,210,186 |
3. |
Kusaidia ujenzi wa ofisi ya kata Kitanzini
|
KITANZINI |
|
9,960,488 |
|
JUMLA CDG |
|
|
40,472,563 |
|
JUMLA UTAWALA |
|
|
438,542,462 |
2. MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kusaidia uchangiaji wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa
|
IMC |
MAPATO YA NDANI |
34,838,800 |
2. |
Kusaidia ulipaji wa madeni kwa LGLB
|
IMC |
|
239,541,350 |
3. |
Kutoa ruzuku itokanayo na mapato ya ndani kwa ngazi ya chini ya Serikali za Mitaa
|
IMC |
|
150,000,000 |
4. |
Kusaidia uchangiaji wa shughuli za maendeleo
|
IMC |
|
286,094,360 |
5. |
Kusaidia utekelezaji wa miradi ya kimkakati katika Manispaa
|
IMC |
|
50,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
760,474,510 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia miradi ya kuchochea Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo
|
IMC |
MFUKO WA JIMBO |
36,372,000 |
|
JUMLA MFUKO WA JIMBO |
|
|
36,372,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia ufuatiliaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo katika kata 18
|
IMC |
MEG |
32,186,700 |
2. |
Kusaidia uandaaji wa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo
|
IMC |
|
10,410,000 |
3. |
Kusaidia zoezi la upimaji wa mwaka kwa mfumo wa LGDG
|
IMC |
|
9,500,000 |
4. |
Kusaidia zoezi la uainishaji wa Jitihada za Jamii kwa njia ya O&OD
|
IMC |
|
22,506,700 |
5. |
Kusaidia wawezeshaji ngazi ya kata katika uwezeshaji wa jamii
|
IMC |
|
18,900,000 |
6. |
Kuwezesha mikutano, utembeleaji wa miradi na utoaji wa ushauri katika kata 18
|
IMC |
|
10,690,000 |
|
JUMLA MEG |
|
|
104,193,400 |
|
|
|
|
|
1. |
Kufanya ufuatiliaji wa shughuli zinazotekelezwa kwa usaidizi wa UNICEF
|
IMC |
UNICEF |
13,660,000 |
2. |
Kufanya mkutano wa tathmini wa mwaka kwa watumishi 10 kutoka idara zinazotekeleza shughuli zinazopata usaidizi wa UNICEF
|
IMC |
|
1,340,000 |
|
JUMLA UNICEF |
|
|
15,000,000 |
|
JUMLA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI |
|
|
916,039,910 |
3. ELIMU MSINGI
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kusaidia ukamilishaji wa Nyumba 3 za Walimu katika shule za msingi Igumbilo, Ukombozi na Mlangali
|
IGUMBILO MSHINDO MLANDEGE |
MAPATO YA NDANI |
49,925,000 |
2. |
Kusaidia ujenzi wa madarasa 4 katika shule za msingi Mkoga, Mawelewele, Kigonzile na Azimio
|
KWAKILOSA NDULI MKIMBIZI |
|
80,000,000 |
3. |
Kusaidia ujenzi wa madarasa 3 katika shule za msingi Kigonzile, Mawelewele na Mkoga
|
KWAKILOSA NDULI ISAKALILO |
|
15,000,000 |
4. |
Kusaidia ujenzi wa madarasa 2 katika shule za msingi Igumbilo na Ndiuka
|
IGUMBILO |
|
20,000,000 |
5. |
Ununuzi wa madawati 500
|
IMC |
|
30,000,000 |
6. |
Kusaidia ukarabati wa viwanja wa mpira katika shule za msingi Njia panda, Kitwiru, Mtwivila, Hoho na Nyumbatatu
|
MTWIVILA |
|
2,020,000 |
7. |
Kusaidia ukamilishaji wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Nyumbatatu
|
ILALA |
|
5,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
201,945,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia ukarabati wa vyoo katika shule za msingi Mlandege, Mlangali na Muungano
|
MLANDEGE KWAKILOSA |
BENKI YA DUNIA |
24,000,000 |
|
JUMLA BENKI YA DUNIA |
|
|
24,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia ukamilishaji wa madarasa 4 katika shule ya msingi Mnazi mmoja
|
KITWIRU |
CDG |
11,561,282 |
2. |
Kusaidia ujenzi wa darasa 1 katika shule ya msingi Ndiuka
|
IGUMBILO |
|
11,502,615 |
3. |
Kusaidia ujenzi wa darasa 1 katika shule ya msingi Mawelewele
|
KWAKILOSA |
|
10,000,000 |
4. |
Kusaidia ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu katika shule ya msingi Mlangali
|
KWAKILOSA |
|
20,780,721 |
5. |
Kusaidia ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu katika shule ya msingi Igumbilo
|
IGUMBILO |
|
7,000,000 |
|
JUMLA CDG |
|
|
60,844,618 |
|
|
|
|
|
1. |
Kuwezesha uhamasishaji kwa walimu 50, walimu wakuu 5 na waratibu wa kata 16 juu ya kuhimiza elimu kwa walemavu
|
IMC |
UNICEF |
24,960,000 |
|
JUMLA UNICEF |
|
|
24,960,000 |
|
JUMLA ELIMU MSINGI |
|
|
311,749,618 |
4. ELIMU SEKONDARI
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kusaidia ukarabati wa mfumo wa utoaji maji katika shule ya sekondari Lugalo
|
GANGILONGA |
MAPATO YA NDANI |
30,000,000 |
2. |
Kununua viti na meza 375 kwa ajili ya shule za sekondari
|
IMC |
|
30,000,000 |
3. |
Ununuzi wa vitanda vya vyuma 80 kwa ajili shule ya sekondari Tagamenda
|
RUAHA |
|
20,000,000 |
4. |
Kusaidia ujenzi wa madarasa 3 katika shule ya sekondari Mivinjeni
|
MIVINJENI |
|
10,000,000 |
5. |
Kusaidia ujenzi wa uwanja wa mpira katika shule ya sekondari Mivinjeni
|
MIVINJENI |
|
3,000,000 |
6. |
Kuwezesha ulipaji wa fidia ya ardhi katika shule za sekondari Mawelewele na Mivinjeni
|
KWAKILOSA MIVINJENI |
|
30,000,000 |
7. |
Kusaidia ukamilishaji wa vyumba vya maabara 20 katika shule za sekondari 19
|
IMC |
|
60,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
183,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia ukamilishaji wa Bafu na Vyoo katika shule ya sekondari Mawelewele
|
KWAKILOSA |
CDG |
12,137,724 |
2. |
Kusaidia ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara katika shule shule ya sekondari Mtwivila
|
MTWIVILA |
|
30,355,118 |
3. |
Kusaidia ukamilishaji wa madarasa 2 katika shule ya sekondari Kihesa
|
KIHESA |
|
29,160,807 |
4. |
Kusaidia ukamilishaji wa darasa 1 katika shule ya sekondari Nduli
|
NDULI |
|
18,246,667 |
5. |
Kusaidia ukamilishaji wa ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya sekondari Kihesa
|
KIHESA |
|
20,000,000 |
6. |
Kusaidia ukamilishaji wa madarasa 2 katika shule ya sekondari Tagamenda
|
RUAHA |
|
30,000,000 |
7. |
Kusaidia chumba 1 cha maabara katikashule ya sekondari Mtwivili
|
MTWIVILI |
|
28,468,767 |
8. |
Kusaidia chumba 1 cha maabara katikashule ya sekondari Nduli
|
NDULI |
|
30,000,000 |
9. |
Kusaidia ukamilishaji wa jengo la utawala katika shule ya sekondari kleruu
|
GANGILONGA |
|
21,698,506 |
10. |
Kusaidia ukamilishaji wa vyumba 3 vya maabara katika shule ya sekondari Kwakilosa
|
ISAKALILO |
|
21,887,189 |
11. |
Kusaidia ukamilishaji wa madarasa 2 ya kidato cha tano katika shule ya sekondari Mawelewele
|
KWAKILOSA |
|
30,000,000 |
12. |
Ununuzi wa viti na meza 125 kwa ajili ya shule za sekondari
|
IMC |
|
20,000,000 |
13. |
Kusaidia ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara katika shule ya sekondari Ipogoro
|
RUAHA |
|
20,000,000 |
14. |
Kusaidia ukamilishaji wa chumba 1 cha maabara katika shule ya sekondari Mlandege
|
MLANDEGE |
|
20,000,000 |
15. |
Kusaidia ukamilishaji wa chumba 1 cha maabara katika shule ya sekondari Mlamke
|
ILALA/MAKORONGONI |
|
12,248,895 |
16. |
Kusaidia ukamilishaji wa chumba 1 cha maabara katika shule ya sekondari Mlamke
|
ILALA/MAKORONGONI |
|
21,452,089 |
17. |
Kusaidia ukamilishaji wa darasa 1 katika shule ya sekondari Mivijeni
|
MIVIJENI |
|
13,163,156 |
18. |
Kusaidia ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara katika shule ya sekondari Mkwawa
|
MKWAWA |
|
26,637,491 |
|
JUMLA CDG |
|
|
405,456,409 |
|
JUMLA ELIMU SEKONDARI |
|
|
588,456,409 |
5. AFYA
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Ujenzi wa jengo la upimaji na uchunguzi katika hospitali ya FRELIMO
|
KWAKILOSA |
MAPATO YA NDANI |
400,000,000 |
2. |
Kusaidia ujenzi wa wodi 1 katika zahanati ya Itamba
|
MKWAWA |
|
50,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
450,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Kusaidia usimamizi katika shughuli za kudhibiti magonjwa ya UKIMWI na Kifua Kikuu
|
IMC |
GLOBAL FUND |
23,640,000 |
|
JUMLA GLOBAL FUND |
|
|
23,640,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Ujenzi wa varanda kutoka OPD hadi jengo la Wajawazito katika Hospitali ya FRELIMO
|
KWAKILOSA |
CDG |
60,000,000 |
2. |
Ujenzi wa jengo la upimaji na uchunguzi katika Hospitali ya FRELIMO
|
KWAKILOSA |
|
100,000,000 |
3. |
Ujenzi wa wodi 1 katika zahanati ya Itamba
|
MKWAWA |
|
80,000,000 |
|
JUMLA CDG |
|
|
240,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Mradi wa ulinzi na usalama wa mtoto katika Manispaa ya Iringa
|
IMC |
UNICEF |
218,861,400 |
|
JUMLA UNICEF |
|
|
218,861,400 |
|
JUMLA AFYA |
|
|
932,501,400 |
6. MAJI
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kuendesha zoezi la ukusanyaji na uchambuzi wa takwimu za usafi wa mazingira kwenye mitaa 49 katika kata 4 za Kihesa, mtwivila, Mkimbizi na Kitwiru
|
KIHESA MTWIVILA MKIMBIZI KITWIRU |
BENKI YA DUNIA |
6,272,000 |
2. |
Kufanya zoezi la uchefuaji kwenye mitaa 49 katika kata 4
|
IMC |
|
6,914,000 |
3. |
Kufanya mashindano ya usafi wa mazingira katika mitaa yote na kata zote za Manispaa ya Iringa
|
IMC |
|
320,000 |
4. |
Kuendesha zoezi la utoaji zawadi kwa washindi wa usafi wa mazingira
|
IMC |
|
1,870,000 |
5. |
Kufanya ufuatiliaji na usimamizi wa shughuli za kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira kwenye mitaa 49 na kata 4
|
IMC |
|
4,624,000 |
|
JUMLA BENKI YA DUNIA |
|
|
20,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Ujenzi wa miradi ya maji katika mitaa ya Kigungawe, Ugele na Mosi
|
MKIMBIZI IGUMBILO KITWIRU |
NWSSP |
1,679,617,200 |
2. |
Kuwezesha mtaalamu mshauri kwa miradi ya maji katika mitaa ya Kigungawe, Ugele na Mosi
|
MKIMBIZI IGUMBILO KITWIRU |
|
171,689,000 |
3. |
Kusaidia shughuli za usimamizi na ufuatiliaji wa Mpango wa Usambazaji Maji
|
IMC |
|
21,399,800 |
4. |
Kutoa mafunzo kwa Kamati ya Maji na Usafi ya Halmashauri, Watumishi wa idara ya Maji na Jumuia watumia maji
|
IMC |
|
3,900,000 |
|
JUMLA NWSSP |
|
|
1,876,606,000 |
|
JUMLA MAJI |
|
|
1,896,606,000 |
7. UJENZI NA BARABARA
NA |
SHUGHULI/MRADI
|
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Matengenezo ya barabara za dharura km 10 katika Manispaa
|
IMC |
MAPATO YA NDANI |
50,000,000 |
2. |
Matengenezo ya barabara km 75 katika kata 18 za Manispaa
|
IMC |
|
49,994,000 |
3. |
Kusaidia uendeshaji na matengenezo la grada 1
|
IMC |
|
45,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
144,994,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Ujenzi wa soko la kisasa la Mlandege
|
MLANDEGE |
BENKI YA DUNIA |
3,650,000,000 |
2. |
Kuwezesha upatikanaji wa mtaalamu mshauri kwa ajili ya ujenzi wa soko la Mlandege
|
MLANDEGE |
|
354,088,185 |
3. |
Ujenzi wa barabara km 1 kutoka Mawelewele mpaka Asphait standard
|
KWAKILOSA |
|
742,565,103 |
|
JUMLA BENKI YA DUNIA |
|
|
4,746,653,288 |
|
|
|
|
|
1. |
Ukarabati wa barabara ya lami Mtwivila – Darajani km 1.0
|
MTWIVILA |
MFUKO WA BARABARA |
350,000,000 |
2. |
Matengenezo ya muda maalumu barabara ya St Charles km 1.0
|
KWAKILOSA |
|
30,000,000 |
3. |
Matengenezo ya muda maalumu barabara ya Mawelewele km 2.5
|
MAWELEWELE |
|
75,000,000 |
4. |
Matengenezo ya muda maalumu barabara ya Mkimbizi - Bima km 1.95
|
MKIMBIZI |
|
58,500,000 |
5. |
Matengenezo ya muda maalumu barabara ya SIP kata ya Kitwiru km 1.7
|
KITWIRU |
|
51,000,000 |
6. |
Matengenezo ya maeneo korofi za barabara km 30.59
|
IMC |
|
152,500,000 |
7. |
Matengenezo ya kawaida za barabara km 127.44
|
IMC |
|
383,820,000 |
8. |
Ujenzi wa daraja 1 kata ya Kitwiru na matengenezo ya daraja kata ya Isakalilo
|
KITWIRU ISAKALILO |
|
85,000,000 |
9. |
Ujenzi wa kalvati 30 katika Manispaa
|
IMC |
|
60,000,000 |
10. |
Kusaidia shughuli za usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya barabara
|
IMC |
|
76,577,400 |
|
JUMLA MFUKO WA BARABARA |
|
|
1,322,397,400 |
|
JUMLA UJENZI NA BARABARA |
|
|
6,214,044,688 |
8. KILIMO NA MIFUGO
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kuchangia uanzishaji wa Benki ya Wananchi ya Manispaa ya Iringa
|
IMC |
MAPATO YA NDANI |
15,000,000 |
2. |
Ujenzi wa mfereji mkuu mita 50 kutoka Kisaula – Mtwivila katika mradi wa umwagiliaji wa Mkoga
|
ISAKALILO |
|
15,000,000 |
3. |
Ujenzi wa mfereji mkuu mita 50 katika mradi wa umwagiliaji Kitwiru
|
KITWIRU |
|
15,000,000 |
4. |
Ununuzi wa ardhi Hekta 40 kwa ajili ya ujenzi wa machinjio ya Ngerewala
|
ISAKALILO |
|
50,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
95,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Ujenzi wa mfereji mkuu mita 89 katika mradi wa umwagiliaji Mkoga
|
ISAKALILO |
CDG |
26,773,600 |
|
JUMLA CDG |
|
|
26,773,600 |
|
|
|
|
|
1. |
Ujenzi wa jengo la hifadhi ya chakula katika machinjio ya Ngerewala
|
ISAKALILO |
ASDP |
44,305,400 |
2. |
Kuboresha banda la kuhifadhia ngozi
|
ISAKALILO |
|
4,500,000 |
3. |
Kuwezesha zoezi la ufuatiliaji na tathmini kwa mpango wa kuboresha ngozi
|
IMC |
|
1,796,000 |
4. |
Kuhimiza matumizi ya uchinjaji wa kisasa na uhifadhi wa ngozi katika kata 6
|
IMC |
|
1,808,000 |
5. |
Kusaidia utekelezaji wa shughuli mbalimbali za sekta ya mifugo
|
IMC |
|
1,560,000 |
|
JUMLA ASDP |
|
|
53,969,400 |
|
JUMLA KILIMO NA MIFUGO |
|
|
175,743,000 |
9. ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Ununuzi wa ardhi Heka 100
|
IMC |
MAPATO YA NDANI |
100,000,000 |
2. |
Upimaji wa viwanja 300
|
IMC |
|
50,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
150,000,000 |
|
|
|
|
|
1. |
Ununuzi wa vizimba vya taka
|
IMC |
|
60,000,000 |
|
JUMLA CDG |
|
|
60,000,000 |
|
JUMLA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA |
|
|
210,000,000 |
10. MAENDELEO YA JAMII
NA |
SHUGHULI/MRADI |
MAHALI |
CHANZO CHA FEDHA |
KIASI (TZS) |
1. |
Kutoa mafunzo ya kujikinga na UKIMWI, Unyanyapaa na ukatili wa kijinsia kwa MEOs 192 juu
|
IMC |
MAPATO YA NDANI |
4,570,000 |
2. |
Kutoa mafunzo ya kujikinga na UKIMWI, Unyanyapaa na ukatili wa kijinsia kwa Madiwani 29, Wabunge na DC
|
IMC |
|
4,580,000 |
3. |
Kutoa mafunzo ya kujikinga na UKIMWI, Unyanyapaa na ukatili wa kijinsia kwa WEOs na CDOs 48
|
IMC |
|
1,950,000 |
4. |
Kutoa mafunzo ya kujikinga na UKIMWI, Unyanyapaa na ukatili wa kijinsia kwa watu 60 wenye ulemavu
|
IMC |
|
2,300,000 |
5. |
Kutoa mafunzo ya kujikinga na UKIMWI kwa Wanafunzi 50 wa Elimu ya Juu
|
IMC |
|
1,920,000 |
6. |
Kutoa elimu ya UKIMWI kwa viongozi wa madhehebu kuelimisha waumini wao jinsi ya kujikinga na UKIMWI
|
IMC |
|
1,300,000 |
7. |
Kuwezesha kikundi 1 cha utamaduni kuhamasisha elimu juu ya UKIMWI katika kata 18
|
IMC |
|
1,380,000 |
8. |
Kutoa usaidizi wa kifedha kwa vikundi 10 vya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI
|
IMC |
|
10,000,000 |
9. |
Kuwezesha ulipaji wa ada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira hatarishi katika shule za sekondari 30
|
IMC |
|
2,100,000 |
10. |
Kuwezesha utoaji wa vyakula katika vituo vya kulelea watoto yatima
|
IMC |
|
3,900,000 |
11. |
Kuelimisha kamati za UKIMWI katika juu wajibu wao
|
IMC |
|
4,000,000 |
12. |
Kuwezesha upatikanaji wa mikopo kwa vikundi vya ujasiriamali
|
IMC |
|
418,082,700 |
13. |
Kusaidia ufuatiliaji wa mikopo iliyotolewa kwa vikundi vya Vijana na Wakina mama
|
IMC |
|
2,000,000 |
|
JUMLA MAPATO YA NDANI |
|
|
458,082,700 |
|
|
|
|
|
1. |
Mpango wa kusaidia kaya maskini kwenye mitaa 192
|
IMC |
TASAF |
871,344,000 |
|
JUMLA TASAF |
|
|
871,344,000 |
|
JUMLA MAENDELO YA JAMII |
|
|
1,329,426,700 |
|
JUMLA YA BAJETI YA MAENDELEO |
|
|
13,013,112,177 |
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: mkurugenzi@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa