TAARIFA FUPI YA UJENZI WA DARAJA LASOMBELI KATA YA NDULI MANISPAA YA IRINGA
UTANGULIZI
Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Sombeli Kata ya Nduli uliibuliwa ili kuimkarisha Mawasiliano ya wakazi wa maeneo ya Sombeli, Kigonzile na wa kazi wa Mtaa wa Ludenyela na maeneo ya jirani ya Ilole ambao mawasiliano hayakuwepo kutokata na korongo lililokuwepo. Mradi huu ukikamilika utapunguza kero ya usafiri kwa Wakazi wa maeneo hayo.
LENGO LA MRADI
Lengo la mradi huu ni kuendelea kuboresha mawasiliano kwa wananchi wa maeneo ya sombeli Ludenyela na maeneo jirani ya Ilole.
UTEKELEZAJI
Mradi huu unatekelezwa na Mkandarasi Kampuni ya CHELES GENERAL ENTERPRISES LTD ,Wa SWLP 458 MAFINGA kwa mkataba. Na .LGA/025/2016/2017/HQ/W/05 na Gharama ya Tsh.62,444,671/= Kwa muda wa siku 120 kuanzia tarehe 14/04/2017 hadi tarehe 15/04/2017 kwa kutekeleza shughuli zifuatazo:
KAZI ZILIZO TEKELEZWA HADI SASA
Hadi sasa Mkandarasi amelipwa kiasi cha Tsh. 44,860,886/= sawa na asilimia 74% ya Gharama za Mradi
MANUFAA YA MRADI
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: mkurugenzi@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa