UTANGULIZI
Idara ya Elimu Sekondari ni moja kati ya idara 13 na vitengo 06 vinavyounda Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.
IDADI YA WATUMISHI
Idara ya Elimu Sekondari ina jumla ya watumishi 732, wakiwemo :- Maafisa ngazi ya Halmashauri 03, Wakuu wa Shule 14, Walimu 667 na Watumishi wasio walimu 31
IDADI YA SHULE ZA SEKONDARI NA WANAFUNZI
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ina jumla ya shule za sekondari 29 zikiwemo za Serikali 14 na zisizo za Serikali 15. Idadi ya wanafunzi wa shule za Serikali ni 9622 wakiwemo wavulana 3925 na wasichana 5697.
MAJUKUMU YA IDARA
MAFANIKIO KATIKA IDARA
MPANGO MIKAKATI YA UBORESHAJI ELIMU/TAALUMA
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: mkurugenzi@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa