Mkuuwa Wilaya ya Iringa Komred Kheri James amewataka wataalamu kutoka Manispaakutotumia mabavu kunyang`anya machinga biashara zao na badala yake wahakikishewanaelimisha, wanakumbusha ndipo wawajibishe ili kutekeleza sheria ndogo zaManispaa.
DCKheri amasema hayo katika Mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero na malalamikoya wananchi Machi 26, 2024 katika Uwanja wa Mwembetogwa.
“Tunatakawafanyabiashara wafuate taratibu kwa kufanya biashara maeneo rasmiwaliyopangiwa kwa kuhakikisha tunawaelimisha, tunawakumbusha na ndipotuwawajibishe, hivyo tabia ya migambo kutumia mabavu kuwanyang`anya machingabiashara zao isijiridue tena” Amesema DC Kheri
DCKheri amemaliza kwa kusema Kila mmoja atimize wajibu wake hapo tutaijengaIringa yetu kwa umoja na uwajibikaji kama kauli mbiu yetu inavyosema.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa