• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

DK. MAGUFULI AWATAKA WANA IRINGA KUMCHAGUA JESCA MSAMBATAVANGU

Posted on: September 28th, 2020

“Iringa mwaka huu msiniangushe huwa mnaniumiza sana, tunapata shida kupata connection, ukikosa connection hakuna maendeleo, hapa hakuna connectin, Nileteeni Jesca Muone yatakayotokea Iringa” JPM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombea Urais kupitia chama hicho dkt.John Pombe Magufuli amewaomba wana Iringa kumpa kura nyingi za ndio ili kukamilisha mambo mengi yaliyomo kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi(CCM)

Akizungumza katika viwanja vya Samora leo Dr..Magufuli amesema iwapo atapewa nafasi nyingine ya kuiongoza Tanzania atafanya maajabu kwa kuubadilisha  Mkoa wa Iringa.

“Tupate viongozi watakaoulinda Muungano wetu, ni ccm pekee ndiyo yenye kuleta usawa bila kubagua itikadi za vyama,dini na makabila”.

Naye Mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Mh. Mizengo Pinda amemuhakikishia Mh. Magufuli kuwa CCM itashinda kwa kishindo Mkoani hapa kwani wamejipanga kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa.

Kwa upande wake mgombea Ubunge jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha Mapinduzi Ndg.Jesca Msambatavangu amesema kuwa akichaguliwa kuwawakilisha wananchi wa jimbo la Iringa mjini atahakikisha changamoto zote zinafanyiwa kazi ikiwemo ukarabati wa masoko pamoja na kupunguza ushuru kwa wafanyabiashara wadogo .

Aidha mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama na serikali,wananchi wa vyama mbalimbali, wagombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi Mkoani ,wagombea udiwani  ambao walipata nafasi ya kumuombea kura Mwenyekiti wa chama hicho pamoja na kujiombea kura nyingi za ndio wao wenyewe.bila kusahau wasanii walipata fursa ya kutumbuiza katika mkutano huo akiwemo mwanamuziki nguli Hamonize  kuwafanya wanachi kulipuka Kwa shangwe,vigelegele na nderemo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa