Kamati ya Uchumi Afya na Elimu ikiongozwa na Mh Raphael Ngulo inaendelea na ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kwa robo ya pili mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo miradi lengwa ni pamoja na kukagua ujenzi wa Madarasa shule ya Sekondari ya Nduli, kukagua ujenzi wa Jengo la uchunguzi Hospital ya Flerimo, ujenzi wa Madarasa shule ya Msingi Njiapanda pamoja na ujenzi wa vyoo shule ya msingi Azimio
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa