• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

KARIBU MKURUGENZI MSIGALA-MANISPAA YA IRINGA

Posted on: June 13th, 2023

Na Mwandishi

13/06/2022

Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Ndugu Charles Mwakalila  leo Juni 12 2023 imempokea

Ndugu Kastori G.Msigala Mkurugenzi wa Halmashauri katika ukumbi  wa Mikutano  wa Manispaa hiyo.

Akimkaribisha Mkurugenzi huyo,kaimu Mkurugenzi Ndugu Charles Mwakalila anesema kwa niaba ya Menejimenti waheshimiwa Madiwani na watumishi wote wako tayari kumpa ushirikiano  katika kutekeleza majukumu yake.

Mwakalila amewashukuru Menejimenti kwa ushirikiano waliompa kipindi chote alichokuwa akitekeleza majukumu yake akiwa Kaimu Mkurugenzi na kuwataka waendelee na moyo huo kwa Mkurugenzi aliyepo sasa kwa ustawi wa wananchi na Halmashauri  kwa ujumla.

Naye Mkurugenzi ndugu Kastori G.Msigala amesema anashukuru kwa mapokezi hayo na  anaamini atafanya kazi vizuri na timu hiyo ya wataalamu na  kuwa yeye hufanya kazi kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu hivyo  anaamini ushauri atakaopewa na timu hiyo  ambao utakuwa kwa njia ya maandishi utazingatia utaalamu ili kuweza kuleta tija katika Halmashauri yetu.

Kastori G.Msigala kabla ya kuja Manispaa ya Iringa alikuwa Mkurugenzi wa Halimashauri ya wilaya ya Moshi ambako alikuwa akitekeleza majukumu yake mpaka tarehe 7 Juni 2023 ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipofanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za  Serikali za Mitaa na kumhamishia katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa