Baraza la Madiwani La Halmashauri ya Manispaa ya Iringa limekaa kikao cha kupokea Taarifa za kata kwa robo ya kwanza mwaka wa fedha 2019/2020 siku ya Alhamisi Tarehe 14.11.2019 katika ukumbi wa Manispaa.
Aidha katika kikao hicho jumla ya Agenda 6 zilizojadiliwa ikiwemo Agenda ya Utendaji kazi kutoka katika kata zote za Manispaa ya Iringa.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa